Na Hassan Mwasha, Gazetini
SIMBA ikiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara, haipaswi kupoteza hata mchezo mmoja, huku ikiiombea dua mbaya Yanga...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MSIMU wa Ligi Kuu Bara unaelekea ukingoni, huku Yanga na Azam zikiwa ndizo timu pekee ambazo hadi sasa hazijafungwa katika mechi...
Na Hassan Mwasha,Gazetini
KWA mashabiki wa soka wa Tanzania, macho na masikio yao yameelekezwa katika vita mbili kubwa. Ubingwa wa Ligi Kuu Bara na ile...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KATIKA moja ya nukuu zake maarufu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutaja maradhi kuwa ni moja ya maadui watatu wa Taifa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MOJA ya hatua kubwa zilizopigwa na Shirika la Reli nchini (TRC) ni kuondokana na utegemezi kwa Serikali, ambapo katika Mwaka wa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KASI kubwa ya maendeleo imeshuhudiwa katika bandari za mwambao wa Bahari ya Hindi na Maziwa Makuu, ikiwamo uboreshaji wa miundombinu unaochagiza...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
RAIS Yoweri Museveni ameapishwa kuanza awamu yake ya saba baada ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari, 2026, akiandika historia ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KWA mujibu wa Serikali hadi Aprili 2026 jumla ya nyumba 2,512 zimeunganishwa na huduma ya gesi asilia katika mikoa ya Mtwara,...
Na Mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imeanza rasmi safari mpya ya kihistoria katika sekta ya madini baada ya kuingia kwenye ramani ya dunia kama mzalishaji na...
NEW YORK, Marekani
TAASISI ya Tafiti za Amani ya Stockholm nchini Sweden (SIPRI) imebaini kuwa manunuzi ya silaha za kivita duniani yamekuwa makubwa zaidi kuwahi...