Ads: info@gazetini.co.tz |
22.9 C
Dar es Salaam

AFYA

Dk. Jafo ataka TBS kutoa elimu madhara ya unywaji pombe kupita kiasi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...

Serikali ya Marekani kutoa Dola milioni moja mapambano dhidi Mpox

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza kutoa msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji...

Madaktari bingwa 50 waweka kambi Singida

Na Mwandishi wetu, Gazetini Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dk. Fatma Mganga amewapokea madaktari bingwa na bingwa bobezi 50 wa Rais Samia na kuwataka...

Serikali yasisitiza utamaduni wa kujikinga na ajali mahali pa kazi  

*Yaadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani mkoani Singida Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa...

Zuhura ahimiza wafanyakazi kushiriki michezo ili kujenga afya

Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...

Jaji Kiongozi apongeza ushirikiano wa Mahakama na OSHA katika kukuza usalama na afya mahali pa kazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na...

Baraza la tiba asili na tiba mbadala latakiwa kutumia tafiti kuleta mchango sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba...

DCEA yakamata kilo 4,568 za dawa za kulevya

*Tani 14 kemikali bashirifu zazuiwa kuingia nchini Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mamlaka  ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo mbalimbali vya...

Mjumbe Maalum wa Rais Samia, Jakaya Kikwete akutana na Rais wa Burkina Faso

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, amehitimisha...

Urejelezwaji usio salama wa betri chakavu watajwa kuathiri mazingira na afya ya binadamu

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Imeelezwa kuwa urejelezwaji wa betri chakavu bila kuzingatia miongozo ya kimazingira ni chanzo kikubwa cha uchafuzi wa mazingira na huweza kusababisha...

Mabadiliko ya tabianchi yanavyotishia ustawi wa ndoto za watoto Tanzania

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Mabadiliko ya tabianchi ni changamoto inayoendelea kuathiri maisha ya watu duniani kote, hasa watoto ambao ni miongoni mwa makundi yaliyo hatarini...

TACAIDS yakutanisha wadau kujadili matokeo ya Tafiti za VVU na UKIMWI

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imewakutanisha wadau wa taasisi zinazofanya tafiti kuhusu VVU na UKIMWI nchini kujadili matokeo ya tafiti...

Recent articles