Ads: info@gazetini.co.tz |
22.5 C
Dar es Salaam

AFYA

Mchengerwa awataka wakuu wa mikoa kuwaongoza wananchi kufanya ‘jogging’

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka wakuu wa mikoa na wilaya nchini kuwaongoza wananchi katika maeneo yao...

Rais Mwinyi akaribisha   wawekezaji wa China  kuendeleza tafiti za dawa   za asili

Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewakaribisha wawekezaji kutoka China kuwekeza nchini hususan kuendeleza sekta...

Waziri wa afya aitaka Bodi ya Wadhamini  MOI kuimarisha huduma za kibingwa na kibobezi

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Afya Jenista Mhagama,  amezindua Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) na kuitaka bodi...

Dk. Mpango atoa rai kwa wafamasia kusaidia jamii kuepuka madhara ya dawa

Na Mwandishi Wetu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ametoa rai kwa wafamasia nchini kuendelea kulipa kipaumbele suala la...

Profesa Janabi ashinda Mkurungenzi WHO Kanda ya Afrika

Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na Mshauri wa Rais Samia Suluhu Hassan  katika masuala ya afya, Profesa Mohammed Janabi, ameshinda...

Dk. Jafo ataka TBS kutoa elimu madhara ya unywaji pombe kupita kiasi

Na Ramadhan Hassan, Gazetini-Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, amelitaka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kushirikiana na taasisi nyingine kutoa elimu kwa...

Serikali ya Marekani kutoa Dola milioni moja mapambano dhidi Mpox

Na Mwandishi Wetu Serikali ya Marekani kupitia Kituo cha Kudhibiti Maradhi (CDC), imetangaza kutoa msaada wa karibu dola milioni moja kwa ajili ya kuimarisha ufuatiliaji...

Madaktari bingwa 50 waweka kambi Singida

Na Mwandishi wetu, Gazetini Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Dk. Fatma Mganga amewapokea madaktari bingwa na bingwa bobezi 50 wa Rais Samia na kuwataka...

Serikali yasisitiza utamaduni wa kujikinga na ajali mahali pa kazi  

*Yaadhimisha Siku ya Usalama na Afya Duniani mkoani Singida Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Serikali imetoa wito kwa waajiri, wafanyakazi na wananchi kwa ujumla kujenga utamaduni wa...

Zuhura ahimiza wafanyakazi kushiriki michezo ili kujenga afya

Mwandishi Wetu, Gazetini-Singida Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, amewahimiza wafanyakazi wa sekta mbalimbali nchini kujenga...

Jaji Kiongozi apongeza ushirikiano wa Mahakama na OSHA katika kukuza usalama na afya mahali pa kazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Dk. Mustapher Siyani, amepongeza ushirikiano unaoendelea baina ya Mahakama na Wakala wa Usalama na...

Baraza la tiba asili na tiba mbadala latakiwa kutumia tafiti kuleta mchango sekta ya afya

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri wa Afya, Jenista Mhagama amelitaka Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini kujikita katika tafiti za dawa za tiba...

Recent articles