Na Imani Nathaniel, Gazetini
Kampuni ya Halotel imeahidi kutoa huduma ya intaneti bure katika shule nchini, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kusaidia kukuza elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na kuongeza fursa kwa wanafunzi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
STAA wa muziki wa Afropop Mr. Eazi hajawatelekeza mashabiki zake, kwani amerudi na wimbo mpya uitwao Comfort.
Ngoma hii kali yenye mahadhi ha Afo Pop, amemshirikisha mwanamuziki kutoka Ghana, Moliy anayefahamika kujitengenezea umalkia wake...
MILAN, Italia
ROBERTO Mancini ameajiriwa na kuikuta timu ya soka ya Taifa ya Italia ikiwa kwenye hali mbaya. Haijafuzu Kombe la Dunia kwa misimu yote...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HIVI karibuni, mwanamuziki nyota kutoka Wasafi Classic Baby (WCB), Zuchu, alifichua kuachana na supastaa wa Bongo Fleva na bosi wa Lebo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeanzisha utaratibu wa kutoa ithibati ya uanachama wa maisha kwa waandishi wa habari...
MIAMI, Marekani
AKITOKEA benchi, aliukuta mchezo ukiwa sare ya bao 1-1, kisha akafunga na kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Ureno kupata ushindi wa...
MUNICH, Ujerumani
BAADA ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, kocha wake, Julian Nagelsmann, amesema hana mpango...
CALIFORNIA, Marekani
JUMLA ya timu 19 zimeshakata tiketi ya kucheza hatua ya 32 ya msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia.
Timu hizo zilizovuka makundi...
WASHINGTON, Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ameridhishwa na mwenendo wa mazungumzo ya maelewano kati ya Marekani na Iran, akidai kuwa Tehran inaonesha ushirikiano...
ISLAMABAD, Pakistan
MWANAHARAKATI wa haki za binadamu nchini Pakistan, Mahrang Baloch, amehukumiwa kifungo cha maisha.
Baloch ameangukiwa na hukumu hiyo katika mashitaka ya ugaidi na kusababisha...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
GEITA Gold haijatinga Ligi Kuu Bara kinyonge, na badala yake imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Bara (Championship) ikiwa na...
MEXICO CITY, Mexico
NAHODHA wa timu ya soka ya Morocco, Achraf Hakimi, amekuwa mchezaji wa Afrika aliyecheza mechi nyingi za Kombe la Dunia.
Nyota huyo wa...