LONDON, Uingereza
SIKU chache tu baada ya kutangazwa kuwa kocha wa Chelsea, Liam Rosenior amesisitiza juu ya usajili wa kipa mpya.
Akiwa kocha wa Strasbourg ya...
HONG KONG, China
BINTI wa bilionea Jimmy Lai amesema baba yake anayesota gerezani anakabiliwa na changamoto kubwa ya kiafya, ikiwamo kung'oka meno na kucha.
Lai mwenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UCHAGUZI Mkuu wa Uganda unatarajiwa kufanyika Januari 15, mwakani, ambapo Rais Yoweri Museveni anawania muhula wake wa saba madarakani.
Wakati Rais Museveni...
LONDON, Uingereza
KWA mara kadhaa, siasa zimefanikiwa kuingia na kuathiri mchezo wa soka. Ni kama ilivyo sasa kwa Urusi na Ukraine. Baada ya Urusi kuivamia...
MOSCOW, Urusi
URUSI imepata pigo baada ya Jenerali wake wa jeshi kuuawa katika shambulio la bomu, kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya nchi hiyo.
Taarifa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
VITENDO vya ugaidi vimeendelea kuwa tishio kwa usalama wa dunia, kwa mujibu wa Taasisi ya kimataifa ya Uchumi na Amani (IEP).
Kwa...
MINSK, Belarus
SERIKALI ya Belarus imetangaza kuwaachia huru wafungwa 123, akiwamo wanasiasa wa upinzani, ikiwa ni katika kutekeleza maagizo ya Marekani.
Marekani iliiwekea vikwazo vya kiuchumi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KUMEKUCHA! Droo ya hatua ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia ilichezeshwa nchini Marekani.Kwa mara ya kwanza, fainali hizo zitashirikisha...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea leo Novemba 7, 2025 kwa michezo miwili kupigwa ambapo Yanga na Azam zimefanikiwa kuondoka na alama...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAKATI wananchi wa Libya walipoingia barabarani katika miji mbalimbali Februari, 2011, kilio chao kikubwa kilikuwa ni uhuru, ambao waliamini wanaukosa chini...