LAGOS, Nigeria
MWANAMUZIKI wa Afrobeats, Divine Ikubor, maarufu kwa jina la Rema, amesema mpenzi wake alikuwa mkorofi na msumbufu, hivyo akaamua kuachana naye na kubaki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ALIYEWAHI kuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amekunwa na kiwango kizuri cha timu ya soka ya vijana wa U-17 ya Tanzania...
LONDON, Uingereza
KATIKA kipindi hiki ambacho Arsenal inapaswa kushinda mechi tano zilizobaki msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL), nyota wake muhimu aliyekuwa majeruhi...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesimamisha uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), pamoja na uongozi wa sasa...
TEHRAN, Iran
MSEMAJI wa jeshi la Iran ametoa kauli ngumu akiimbia Marekani kuwa inapoteza muda katika mpango wa kutaka pande mbili hizo kukaa mezani.
"Watu kama...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KONGAMANO la Uwekezaji Afrika Mashariki la mwaka 2026 (East Africa Investment Forum – EAIF 2026) linatarajiwa kufanyika kesho na kesho kutwa...
NAIROBI, Kenya
TIMU ya wakaguzi ya Shirikisho la Soka l Afrika (CAF) haijaridhishwa na kiwango cha maandalizi yaliyofanyika kwa ajili ya fainali zijazo za AFCON...
MERSEYSIDE, Uingereza
UMESHAWAHI kusikia msemo wa 'usajili ni kamari'? Kwamba wakati mwingine mchezaji anayefanya vizuri akiwa na klabu moja anaweza 'kupotea' baada ya kuhamia kwingine.
Mifano...
LONDON, Uingereza
KLABU za Arsenal na Chelsea zimepata pigo kubwa baada ya watu wa karibu wa Julian Alvarez kusema nyota huyo anaitaka Barcelona.
Ripoti zilizopo zinaeleza...
MANCHESTER, Uingereza
UNAMKUMBUKA beki wa zamani wa Manchester United, West Brown? Alisifika kwa 'ukatili' wake ndani ya uwanja, hasa kwa washambuliaji tishio aliokabidhiwa kuwadhibiti.
Brown aliyezaliwa...
LAGOS, Nigeria
KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, ametuma ujumbe wake wa kutaka kuimarishwa kwa hali ya amani nchini Nigeria.
Papa Leo ameyasema hayo...
OUAGADOUGOU, Burkina Faso
RAIS wa zamani wa Burkina Faso, Paul-Henri Sandaogo Damiba, amekamatwa na vyombo vya dola vya Togo, na kisha kurejeshwa nchini kwake, ambako...