Ads: info@gazetini.co.tz |
25 C
Dar es Salaam

Siasa

CCM yaomba kuchangiwa bilioni 100 za kampeni

Na Mwandishi Wetu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinahitaji kupata sh 100 bilioni kwa ajili ya shughuli za kampeni kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Nini kujadiliwa Mkutano wa Trump, Putin?

LOS ANGELES, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, atakutana na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Agosti...

Busungu achukua fomu kuwania urais

Na Mwandishi Wetu Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu. mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa...

Waziri Mkuu jela miaka 20

N'DJAMEA, ChadALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Chad, Succes Masra, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani akishutumiwa kwa kuchochea ubaguzi wa rangi dhidi ya raia...

UN yaionya Israel kuhusu Gaza

LOS ANGELES, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN) limeitaka Israel kuacha mara moja mpango wake wa mpya wa 'kuuteka' Mji wa Gaza.Kauli...

Kivuli cha rais kinavyoitesa Togo

LOME, TogoMIEZI mitatu iliyopita, siasa za Taifa la Togo zilitikiswa na hatua ya Rais Faure Gnassingbe kutangaza kujiuzulu. Tangu hapo, wadhifa huo umekuwa chini...

Utu au masilahi binafsi? Sababu za Saudia kuipigania Palestina

RIYADH, Saudi ArabiaSERIKALI ya Saudi Arabia iko mstari wa mbele ikiiunga mkono Palestina katika harakati za za kutaka kutambulika kama nchi huru nje ya...

Kwanini viongozi Afrika hukimbilia kutibiwa nje?

LUSAKA, Zambia HIVI karibuni, Afrika iliwapoteza marais wastaafu wawili kutoka mataifa ya Nigeria na Malawi, Muhammadu Buhari na Edgar Lungu, ambao wote walikuwa nje ya...

Salum Mwalimu mgombea urais Chaumma, Devota Minja mgombea mwenza

Na Mwandishi Wetu CHAMA cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimemtangaza Salum Mwalimu kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu...

Trump ameikabidhi Afrika mikononi mwa China?

PRETORIA, Afrika KusiniMATAIFA ya Afrika yanakabiliwa na kiwango cha juu cha ushuru kwa bidhaa zake zitakazoingia Marekani, ikiwa ni sera ya utawala wa Rais...

Shetta ashinda kura za maoni Mchikichini

Na Mwandishi Wetu Msanii Nurdin Bilal maarufu Shetta, ameshinda kwenye kura za maoni ya kugombea udiwani Kata ya Mchikichini, Ilala, Dar es Salaam kupitia CCM. Katika...

Urio awabwaga wanne Kunduchi aongoza kura za maoni

Na Mwandishi Wetu Mgombea wa udiwani Kata ya Kunduchi, jijini Dar es Salaam anayetetea nafasi yake Michael Urio ameibuka kinara katika kura za maoni kwa...

Recent articles