Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

TANESCO

LONDON, Uingereza UTAFITI wa hivi karibuni umedai kuwa asilimia 94 ya klabu za soka za Ligi Kuu ya England hazipati faida, na badala yake zinajiendesha kwa hasara, na nyingi zina madeni mengi na makubwa. Hata hivyo, si...
RIO, Brazil HIVI karibuni, lejendari wa soka la Uholanzi aliyewahi kuwika na AC Milan, Clarence Seedorf, alitua Ligi Kuu ya Brazil, ambako amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Corinthians. Hivyo, Seedorf anakuwa kocha wa staa wa zamani wa Manchester United,...

Tanesco yatwaa tuzo nne za mawasiliano

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limetwaa tuzo nne katika Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Maafisa Uhusiano na Mawasiliano Tanzania (PRST),...

Transfoma nne zasafirishwa kwenda mradi wa Taza

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU mbili za usafirishaji wa transfoma nne kubwa zimeanza safari kutoka Bandari ya Dar es Salaam kuelekea katika vituo vya kupoza...

Dk. Homera azindua huduma mpya za kidijitali

Na mwandshi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Dk. Juma Homera, amezindua Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliohuishwa pamoja na mifumo na huduma mpya za TANESCO,...

Ndejembi: Ushirikiano wa Tanesco na CRDB utaongeza kasi ya uunganishaji umeme

Na mwandishi wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema Mpango wa Ufadhili wa Uunganishaji Umeme kwa Wananchi unaotekelezwa...

Tumeisahau jana, tunaiishi leo, tunaitaka kesho!

Na Hassan Mwasha, Gazeini KAMA kuna kosa kubwa analoweza kulifanya binadamu katika uso wa dunia ni kujipumbaza kuhusu jana yake. Kusahau kila kitu. Kufuta kumbukumbu...

Umelipia lakini bado hujaunganishiwa umeme?

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKATI mwingine, malalamiko ya kuchelewa kuunganishiwa huduma ya umeme kutoka TANESCO yanaweza kusababishwa na uelewa mdogo wa wateja juu ya muda...

Lipia kwa awamu ili uunganishiwe umeme

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKATI mwingine, kama inavyoanishwa katika Mkataba wa Huduma kwa Wataje, TANESCO inatoa nafasi wa wananchi wenye uchumi mdogo kumudu gharama za...

Hujapata ‘control number’ baada ya maombi ya umeme?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KWA mujibu wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja, Shirika la Umeme nchini linatoa elimu ya kutosha kwa mteja wake juu...

Shilingi bilioni 198.67 kuimarisha umeme Songwe, Mbeya

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imesaini mkataba wa Sh bilioni 198.67 kwa ajili ya ujenzi wa njia mpya ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti...

Tanesco kutumia bilioni 63.19 kujenga njia ya umeme Mpomvu–GGM

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI kupitia Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa...

Umeme kufika vitongoji vyote nchini mwaka 2030

Na mwandishi wetu, Gazetini USAMBAZAJi wa umeme unaotekelezwa na Wakala wa Nishati nchini (REA) umeendelea kubadilisha maisha ya wananchi, wakiwamo wa vitongojini. Mpango uliopo ni kuhakikisha...

Umeme kutoka Chalinze hadi Dodoma sasa asilimia 99

Na mwandishi wetu, Gazetini SASA wananchi wa Dodoma watapata umeme unaozalishwa katika Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) kupitia njia ya usafirishaji wa nishati hiyo kutoka...

Recent articles