Na Mwandishi Wetu
Msanii wa Bongofleva, Abdulaziz Abubakar ' Dogo Janja', ameongoza katika kura za maoni ya udiwani katika Kata Ngarenaro, mkoani Arusha kupitia Chama...
KINSHASA, DRCWIKI iliyopita, watu wenye silaha walioripotiwa kuwa ni wapiganaji wa Kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) walivamia kanisa mjini Komanda, Jamhuri ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amejata majina ya wagombea sita wa Jimbo...
KYIV, Ukraine
MAELFU ya raia wa Ukraine wameandamana kuipinga hatua ya Rais Volodymyr Zelensky kupitisha sheria inayobana uhuru wa taasisi kubwa mbili, ikiwamo ya Kuzuia...
WASHINGTON, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, amemtaja mtangulizi wake, Barack Obama, kuwa ni muhaini na anayepaswa kufunguliwa mashitaka.Kwa mujibu wa Rais Trump, Obama alishirikiana...
JERUSALEM, IsraelHUKU vita ikiendelea, binti mwenye umri wa miaka minne, Razan Abu Zaher, amepoteza maisha kutokana na njaa kali inayowakumba wakazi wa Ukanda wa...
Na Mwandishi Wetu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeanza kutumia nembo maalumu (QR Code) ya utambuzi wa taarifa zake ili kuzuia na kudhibiti uzushi na upotoshaji.
Kupitia...
JERUSALEM, IsraelMATAIFA ya Syria na Israel yamefikia makubaliano ya kusitisha vita, kwa mujibu wa Balozi wa Marekani nchini Uturuki, Tom Barrack.Kwa mujibu wa balozi...
MAIDUGURI, NigeriaKATIKA tukio lililotokea jana, kundi la waasi limevamia na kuuua watu sita, huku likiondoka na wengine zaidi ya 100, wakiwamo watoto na wanawake.Taaria...
KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) itakaa mezani na M23 kusaini mkataba wa kumaliza vita Kaskazini mwa nchi hiyo.Hatua hiyo ni...
OUAGADOUGOU, Burkina FasoUTAWALA wa kijeshi nchini Burkina Faso umeifuta iliyokuwa Tume ya Uchaguzi kwa madai kuwa uwepo wake ni matumizi mabaya ya fedha za...