Ads: info@gazetini.co.tz |
25 C
Dar es Salaam

Siasa

‘Putin hataki amani Ukraine’

KYIV, UkraineKATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), Anders Fogh Rasmussen, haoni kama Urusi ina nia ya kurejesha...

Thailand mbioni mapinduzi ya kijeshi?

BANGKOK, ThailandMACHAFUKO yanayoendelea katika mpaka wake na Cambodia yameanza kulipa nafasi kubwa jeshi la Thailand kuipindua Serikali iliyoko madarakani katika Taifa hilo la barani...

Nguvu ya wanawake Uchaguzi Mkuu Malawi

LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...

Nini kifanyike kuiokoa Sudan?

DARFUR, SudanWATU takribani 300,000 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula ukiwa ni mwaka mmoja tu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Sudan. Hali...

Nigeria na janga la hali ya usalama

LAGOS, NigeriaKATIKA baadhi ya maeneo ya Kaskazini mwa Nigeria, raia wanalazimika kuwalipa fedha waasi ili tu waishi kwa amani. Hilo limeshuhudiwa katika Kijiji cha...

Huyu ndiye mwandishi aliyeuawa, aliyeacha simanzi Gaza

JERUSALEM, PalestinaSIKU chache zilizopita, tukio la mauaji ya waandishi wa habari watano huko Gaza lilitikisa ulimwengu, huku Israel ikifahamika kuwa ndiyo iliyohusika kupitia mashambulizi...

CCM Kunduchi yamkabidhi Urio fomu ya kugombea udiwani

Na Mwandishi Wetu Mgombea wa udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata Kunduchi, Michael Urio leo Agosti 18, 2025 amechukua fomu ya kutetea nafasi yake...

Trump sasa ana kwa ana na Zelenskyy

KYIV, UkraineRAIS wa Marekani, Donald Trump, sasa amepanga kukutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy.Mkutano huo utakaofanyika mjini Washington, DC, unakuja...

Meya matatani tuhuma za rushwa

LOS ANGELES, MarekaniMEYA wa New Orleans, LaToya Cantrell, amefunguliwa mashitaka akituhumiwa kwa makosa ya rushwa.Wakati huo huo, mashitaka hayo yamemuhusisha pia mlinzi binafsi wa...

Jeshi Mali na jaribio la kupindua Serikali

BAMAKO, Mali HALI ya taharuki imeibuka nchini Mali baada ya wanajeshi takarbani 50 kushikiliwa kwa madai ya kusuka mpango wa kuipindua Serikali inayoliongoza Taifa hilo...

Mtifuano kati ya Serikali na upinzani Ivory Coast, Uganda, Chad

Na mwandishi wetu, GazetiniKWA wiki chache za hivi karibuni, medani ya siasa barani Afrika imeshuhudia purukushani wanazopitia wanasiasa wa upinzani katika mataifa ya Ivory...

Mgombea urais aliyepigwa risasi afariki

BOGOTA, ColombiaMGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu ujao nchini Colombia, Miguel Uribe, amefariki akiwa na umri wa miaka 39 ikiwa ni miezi miwili tu imepita...

Recent articles