Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Rais wa Senegal ‘amtumbua’ Waziri Mkuu

DAKAR, Senegal RAIS WA Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amemfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, sambamba na kulivunja Baraza la Mawaziri. Aidha, taarifa za Waziri Mkuu...

Kwa nini Putin, Trump wanapishana angani kuikimbilia China?

BEIJING, China ZIARA ya Vladmir Putin nchini China inakuja zikiwa ni siku chache tu tangu Donald Trump wa Marekani alipomaliza mkutano wake na Rais Xi...

Nani Rais mpya wa Marekani baada ya Trump kutoka 2028?

WASHINGTON DC, Marekani MJADALA wa nani atakuwa Rais ajaye wa Marekani umepamba moto si tu nje, bali hata ndani ya korido za Ikuku ya Marekani....

Huyu ndiye injini ya Iran anayeinyima usingizi Marekani

TEHRAN, Iran KABLA na hata wiki chache chache za mwanzoni mwa vita, Rais Donald Trump aliamini kuizima Iran na kuondosha uongozi ulioko madarakani ingechukua siku...

Vurugu, wanasiasa kutekwa, kuuawa kuelekea Uchaguzi Mkuu Colombia

BOGOTA, Colombia KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa Mei 31, 2026, Colombia imekuwa kwenye mfululizo wa matukio ya vurugu, yakihusisha pia kutekwa na hata kuuawa kwa wanasiasa. Hali...

Vita ya Iran: Wakurdi walimsaliti Trump?

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump ameendelea kuwashutumu wapiganaji wa jamii ya Wakurdi akidai kuwa walificha silaha walizopewa na Marekani wakati wa maandamano makubwa ya...

Cuba yanunua ‘drones’ 300 kuitisha Marekani

HAVANA, Cuba SERIKALI ya Cuba imeagiza ndege zisizo na rubani (drones) zaidi ya 300 wakati huu uhusiano wake na Marekani ukiwa kwenye hali mbaya. Mataifa hayo...

Iran, Taiwan katikati ya kikao cha Trump, Xi Jinping?

BEIJING, China RAIS Donald Trump aliwasili mjini Beijing Mei 13, 2026 kwa mkutano wa siku mbili na mwenyeji wake, Xi Jinping. Ni ziara ya kwanza ya...

Ramaphosa alivyowekwa kwenye kona kashfa ya ‘Farmgate’

PRETORIA, Afrika Kusini KWA sasa, Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini anakabiliwa na tishio la kupigiwa kura ya kutokuwa na imani na rais. Amekuwa madarakani tangu...

Museveni amekana kivuli chake akiwa amesahau au makusudi?

Na Hassan Mwasha, Gazetini RAIS Yoweri Museveni ameapishwa kuanza awamu yake ya saba baada ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari, 2026, akiandika historia ya...

Upinzani Burundi watishia kutoshiriki uchaguzi wa rais

BUJUMBURA, Burundi MVUTANO wa kisiasa umeanza kuongezeka nchini Burundi baada ya vyama vikuu vya upinzani kutangaza kusitisha ushiriki wao katika uchaguzi wa rais wa mwaka...

Mahakama yafufua hoja ya kumng’oa Ramaphosa

JOHANNESBURG, Afrika Kusini RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa, anakabiliwa na presha mpya ya kisiasa baada ya Mahakama ya Katiba kuamua kuwa Bunge lilikosea kisheria...

Recent articles