Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Kuelekea uchaguzi mkuu Nigeria: Rais Tinubu ‘atatoboa’ urais 2027?

LAGOS, Nigeria NIGERIA itafanya Uchaguzi Mkuu wake mwaka 2027, huku suala la usalama likiendelea kuwa 'pasua kichwa' katika maeneo mengi ya Taifa hilo. Pia, utawala wa...

Upinzani kumng’oa madarakani Benjamin Netanyahu?

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Banjamin Netanyahu, anakabiliwa na upinzani mkali katika Uchaguzi Mkuu ujao utakaofanyika mwishoni mwa Oktoba, 2026. Ni baada ya vyama vikubwa...

Aliyetaka kumuua Trump aliacha ujumbe kwa familia

WASHINGTON DC, Marekani SAKATA la mtuhumiwa wa tukio la kufyatua risasi katika halfa aliyokuwemo Rais Donald Trump limechukua sura mpya. Mwanaume huyo mwenye umri wa miaka...

Trump atuma wawakilishi Pakistan, aionya Iran kwa kauli kali

WASHINGTON, Marekani Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema wawakilishi wa nchi hiyo wanaelekea Islamabad kwa ajili ya mazungumzo yanayolenga kupunguza mvutano kati ya Marekani na...

Trump aitishia kuiangamiza Iran ikiwa Hormuz haitafunguliwa

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameionya Iran kuwa inaweza “kuangamizwa ndani ya usiku mmoja” endapo haitafikia makubaliano kabla ya muda wa mwisho...

Ripoti: Trump anaweza kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran

WASHINGTON, Marekani JARIDA la Wall Street Journal linaripoti kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, amewaambia wasaidizi wake kuwa yuko tayari kusitisha operesheni ya kijeshi dhidi...

Uingereza: “Hii sio vita yetu, hatutajiingiza”

LONDON, Uingereza Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, amesema wazi kuwa nchi yake haitapeleka wanajeshi nchini Iran, akisisitiza kuwa Uingereza haitajiingiza moja kwa moja katika...

Pete Hegseth: Mtaalamu wa vita anayempa jeuri Donald Trump

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA sasa ndiye 'Katibu wa Vita', jina ambalo amepewa na Rais Donald Trump. Kiuhalisia, Pete Hegseth ni Katibu wa Wizara ya...

Vita ya Iran yatikisa Serikali ya Trump

Washington, D.C. MKUU wa Kituo cha Taifa cha Kupambana na Ugaidi nchini Marekani, Joseph Kent, amejiuzulu wadhifa wake akipinga vikali vita vinavyoendelea dhidi ya Iran,...

Visual| Marais ving’ang’anizi wa madaraka duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika ...

Kwa nini Urusi haiingilii kati kuisaidia Iran dhidi ya Marekani, Israel?

TEHRAN, Iran SAA chache baada ya Iran kuanza kushambuliwa makombora ya Marekani na Israel, Serikali ya Urusi ilitoa tamko zito. Mwakilishi wa Urusi ndani ya Umoja...

Uingereza yatoa msimamo wake vita ya Iran

LONDON, Uingereza WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Sir Keir Starmer, amesema serikali yake itashirikiana kwa karibu na sekta zilizoathirika pamoja na washirika wa kimataifa ili kukabiliana...

Recent articles