Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Marekani yamwekea vikwazo Rais wa Cuba, familia yake

HAVANA, Cuba SERIKALI ya Marekani imetangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Rais wa Cuba, Miguel Diaz-Canel, pamoja na familia yake. Taarifa ya vikwazo hivyo pia inaihusu...

Kiongozi wa upinzani Guinea aendelea kushikiliwa

BISSAU, Guinea Bissau MAHAKAMA ya kijeshi ya Guinea Bissau imeagiza kiongozi wa siasa za upinzani nchini humo, Domingos Simoes Pereira, kuendelea kushikiliwa. Mwanasiasa huyo anayetumikia kifungo...

Rais mstaafu Colombia amjia juu Trump

BOGOTA, Colombia RAIS aliyemaliza muda wake nchini Colombia, Gustavo Petro, amemnyooshea kidole Donald Trump wa Marekani kwa hatua yake ya kumuunga mkono mgombea wa urais Abelardo...

Wabunge wa New Zealand wazuiwa kuingia China

BEIJING, China WABUNGE nne wa New Zealand wamewekewa katazo la kuingia China baada ya ziara yao nchini Taiwan. Kwa mujibu wa taarifa, ziara hiyo iliwahusisha wabunge...

Yanayotikisa Uchaguzi Mkuu wa Ethiopia ukifanyika

ADIS ABABA, Ethiopia RAIA wa Ethiopia wameingia kwenye Uchaguzi Mkuu Juni Mosi, 2026, huku mambo matatu yakiteka mijadala mingi katika siasa za nchi hiyo. Ifahamike kuwa...

Msigwa: Sikufuata cheo CCM, Lisu amenirudisha CHADEMA

Na Hassan Mwasha,Gazetini KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuimarika kwa Chama hicho chini ya Mwenyekiti Tundu Lisu ndiyo...

Sintofahamu mauaji ya wanasiasa wa upinzani Msumbiji

MAPUTO, Msumbiji KWA siku za hivi karibuni, yamezuka matukio ya wanasiasa wa upinzani nchini Msumbiji kuuawa kwa kupigwa risasi. Mei 9, 2026, Anselmo Vicente, ambaye ni...

Sura mpya siasa za Madagascar baada ya maandamano ya Gen-Z

Na mwandishi wetu, Gazetini MWISHONI mwa mwaka 2025, Madagascar ilitikiswa na maandamano makubwa ya vijana wa Gen-Z walioingia barabarani wakipinga hali mbaya ya kiuchumi, wakati...

Ndugu, ‘washikaji’ wanavyomfelisha Waziri Mkuu Hispania

MADRID, Hispania WAZIRI Mkuu wa Hispania, Pedro Sanchez, ametimiza miaka nane tangu alipoingia madarakani, huku skendo za rushwa zikichukua nafasi kubwa katika uongozi wake kwa...

Mgombea urais wa zamani Venezuela ataka Uchaguzi Mkuu

CARACAS, Venezuela ALIYEWAHI kuwa mgombea wa urais wa upinzani nchini Venezuela, Edmundo Gonzalez Urrutia, ametaka kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu ikiwa ni miezi mitano imepita tangu...

Historia inavyomuuliza maswali Mchungaji Msigwa

Na Hassan Mwasha, Gazetini KUONDOKA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haikutosha kwa Mchungaji Peter Msigwa. Akahamia kwa washindani wao wakubwa katika siasa za Tanzania,...

Urafiki uliogeuka uadui kati ya Rais, Waziri Mkuu Senegal

DAKAR, Senegal IJUMAA ya wiki hii, Mei 22, 2026, Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, alimfuta kazi Waziri Mkuu wake, Ousmane Sonko, hatua iliyoambatana na...

Recent articles