Na mwandishi wetu, Gazetini
TAKWIMU za sasa, kwa mujibu wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP), uchafuzi wa mazingira umeongezeka kwa kasi katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAANDISHI wa habari nchini wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kusaidia jamii, hususan ile inayoishi kandokando ya ukanda wa pwani, kutambua...
Belem, BRAZIL
PAPA Leo XIV amehimiza viongozi kuchukua hatua thabiti dhidi ya mabadiliko ya tabianchi na kulalamika kuwa baadhi ya viongozi hawana mapenzi ya kutenda,...
Belem, BRAZIL
Serikali ya Tanzania kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) imeanza kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi hawakatizwi tena na mafuriko yanayosababishwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Brigedia Jenerali Hosea Ndagala, amewataka washiriki...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MAKAMU wa Rais mstaafu wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ametoa wito kwa Serikali kuongeza nguvu na mamlaka zaidi kwa Baraza la...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Mwanza
Wakati dunia ikikabiliwa na changamoto ya uharibifu wa mazingira na afya unaosababishwa na moshi wa kuni na mkaa, Serikali imeendelea kusukuma...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA imeendelea kuungana na nchi nyingine duniani katika kusherehekea Siku ya Faru Duniani kia ifikapo Septemba 22, huku takwimu mpya zikionyesha...
Mwandishi Wetu, Gazetini
MTAFITI maarufu duniani wa maisha ya wanyama, hususan sokwe, Dk. Jane Goodall, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91 nchini Marekani.
Taarifa...
BOGOTA, ColombiaRIPOTI mpya ya Taasisi ya Global Witness imeitaja Colombia kuwa ndilo Taifa lenye idadi kubwa ya mauaji ya wanaharakati wa mazingira.Kwa mwaka jana...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza kuwa msimu wa mvua za vuli kwa mwaka 2025, unaotarajiwa kuanzia Oktoba hadi...