-Wakiwa viongozi wa JET, sasa wanaiwakilisha Tanzania katika nafasi za juu za Umoja wa Mataifa chini ya mkataba wa UNCCD.
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Tanzania imeendelea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA inakabiliwa na ongezeko kubwa la upotevu wa misitu, hali inayochochea ukame, kukauka kwa vyanzo vya maji na kuharakisha mabadiliko ya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dar es Salaam
BENKI ya NCBA imezindua rasmi kampeni yake mpya ya kibiashara inayojulikana kama “Numbers That Matter- Maisha Ni Hesabu”, ikiwa...
Na Mwandishi Wetu, Arusha
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ni miongoni mwa taasisi zilizoalikuwa kushiriki kutoa mada mbalimbali katika kikao kazi cha Makatibu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yusuf Masauni, amewataka wananchi kuilinda miradi ya mabadiliko...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Katika maadhimisho ya Siku ya Simba Duniani, taarifa mpya zinaonyesha hali ya kutisha kwani Simba, miongoni mwa wanyama mashuhuri barani Afrika,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Mwani ni zao la baharini lenye thamani kubwa duniani. Kwa miongo kadhaa, wakulima wa mwani hususan visiwani Zanzibar na mikoa ya...
Na Jonathan Benedict, Gazetini
Kila mwaka, maelfu ya tani za chupa za kioo hutupwa nchini Tanzania baada ya matumizi. Tafiti za mazingira zinaonyesha kuwa chini...
Na Emmanuel Mgimwa – Gazetini
Katika nyanda kame za Kaskazini mwa Tanzania, lipo Ziwa Natron eneo la kimataifa la Ramsar na nyumbani kwa asilimia 75...
LONDON, Uingereza
HEWA chafu ni moja ya sababu zinazoweza kuathiri uwezo wa ubongo wako kutunza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya wa Chuo Kikuu cha...
PRETORIA, Afrika Kusini
TEMBO wanatajwa kuwa ndiyo wanyama walio hatarini zaidi katika vitendo vya ujangili duniani kote, huku Afrika ikichomoza katika takwimu hizo.
Kwa mujibu wa...