Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Messi ashika nafasi ya pili ‘mipira iliyokufa’

LONDON, Uingereza LIONEL Messi anashika nafasi ya pili katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa mabao ya mipira ya kutenga katika historia ya...

Alaba atimkia Serie A

MILAN, Italia BEKI wa zamani wa Bayern Munich na Real Madrid, David Alaba, amekubali kusaini mkataba wa kujiunga na klabu ya Udinese ya Ligi Kuu...

Iran yapewa onyo kali

NEW YORK, Marekani UMOJA wa nchi tajiri saba duniani unaozihusisha Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Japan na Marekani, umeitaka Iran kuacha mara moja kusapoti...

Atletico yamjia juu Mourinho

MADRID, Hispania KLABU ya Atletico Madrid imemjibu kocha wa Real Madrid, Jose Mourinho, baada ya Mreno huyo kuwatupia lawama waamuzi wa mchezo wao uliopita. Baada ya...

Icardi aingia rada za Tottenham

LONDON, Uingereza KLABU ya Tottenham imeanza harakati za kuinasa saini ya mshambuliaji wa kati asiye na klabu kwa sasa, Mauro Icardi, kwa mujibu wa mtandao...

Liverpool yamvalia njuga beki Uholanzi

MERSEYSIDE, Uingereza KLABU ya Liverpool haijaacha kumfuatilia beki wa kulia anayefanya vizuri Ligi Kuu ya Uholanzi akiwa na kikosi cha Feyenoord, Givairo Read. Hata hivyo, nyota...

Lineker: Tatizo la Chelsea ni mabeki

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Barcelona, Gary Lineker, ameitazama Chelsea na kugundua kuwa shida yao kubwa msimu huu ni safu ya ulinzi. Chelsea iko chini ya kocha...

Deeney afichua kinachoikwamisha Man United

LONDON, Uingereza MPACHIKAJI mabao wa zamani wa Watford, Troy Deeney, amemtupia lawama kocha wa Manchester United, Michael Carrick, akisema ndiye chanzo cha mwenendo mbaya wa...

Barcelona yaendelea kumkomalia Haaland

CATALUNYA, Hispania KLABU ya Barcelona haijachana na mpango wake wa kumsajili mpachikaji mabao hatari wa Manchester City na timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland. Barcelona,...

Madueke awaniwa Juventus, Atletico

LONDON, Uingereza WINGA wa Arsenal, Noni Madueke, anawindwa na klabu za Juventus na Atletico Madrid kuelekea dirisha dogo la usajili hapo Januari, 2027. Madueke aliyesajiliwa na...

Liverpool, City zamtolea macho Aramburu

LONDON, Uingereza BEKI wa Real Sociedad ya La Liga, Jon Aramburu, ameingia kwenye rada za klabu kubwa mbili za Ligi Kuu ya England , Liverpool...

Apongezwa kwa kulimwa kadi nyekundu

LONDON, Uingereza KATIKA dakika ya 89 ya mchezo wa Championship dhidi ya Millwall, kiungo wa West Ham United, Mohamadou Kante, alifanya aliwakosha mashabiki na wachezaji...

Recent articles