CATALUNYA, Hispania
MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Lamine Yamal, amekosekana katika mazoezi ya mwisho ya timu hiyo kuelekea mchezo wao dhidi ya Valencia.
Timu hizo zitakwaana kesho Septemba...
ROMA, Italia
ZIPO taarifa zinazodai kuwa klabu ya AS Roma iko mbioni kumchukua beki aliyeachana na Bayern Munich, Raphael Guerreiro.
Kwa mujibu wa ripoti, kocha wa...
PARIS, Ufaransa
VIGOGO wa soka la Ufaransa, PSG, hawajaonja ushindi katika mechi zote tatu za msimu huu wa Ligi Kuu ya Ufaransa .
Wakiwa nyumbani jana...
LOS ANGELES, Marekani
FIGO ya nguruwe iliyopandikizwa kwa mgonjwa imemsaidia kuishi siku 271, kwa mujibu wa madaktari nchini Marekani.
Kwa mujibu wa mgonjwa huyo aliyefahamika kwa...
LOS ANGELES, Marekani
TANGU Bill Clinton alipomaliza majukumu yake ya urais wa Marekani mwaka 2001, amekuwa akiishi Chappaqua, New York, makazi yaliyozungukwa na miti, na...
MANCHESTER, Uingereza
GUMZO kubwa wakati wa usajili wa dirisha kubwa barani Ulaya uliofungwa Septemba 1, 2026, ni uhamisho wa kiungo Enzo Fernandez kwenda Manchester City...
LONDON, Uingereza
MANCHESTER City imevunja rekodi yake ya usajili majira haya ya kiangazi kwa kumchukua kiungo Enzo Fernandez kwa ada ya Pauni milioni 125. Nyota...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WATU zaidi ya 80 walipoteza maisha kati ya Oktoba, 2025, hadi Julai, 2026, chanzo kikiwa ni uvumi wa taarifa za upotoshaji...
LONDON, Uingereza
UMESHAWAHI kusikia msemo maarufu katika soka usemao ‘usajili ni kamari?’ Si kila mchezaji anayesajiliwa, iwe hata kwa pesa nyingi, ataweza kung’ara katika klabu...
RABAT, Morocco
KUELEKEA Uchaguzi wa Wabunge wa Septemba 23, 2026, wanasiasa nchini Morocco wataanza mikutano ya kampeni ifikapo Septemba 10.
Wagombea zaidi ya 700 kutoka vyama...
TEHRAN, Iran
SIKU chache tu baada ya Marekani kutangaza vikwazo vipya kwa Iran, uhaba wa mafuta umeripotiwa kuyakabili maeneo mengi ndani ya nchi hiyo ya...