Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Ciara aanika ‘kibendi’ chake

LOS ANGELES, Marekani BIBIYE mwenye jina kubwa katika soko la muziki nchini Marekani, Ciara, ametangaza kuwa ana ujauzito, hivyo mtoto ajaye atakuwa wa tano kwenye...

Alejandro Betancourt; ‘Dalali’ wa Marekani mkataba wa mafuta Venezuela

CARACAS, Venezuela KWA sasa, Alejandro Betancourt anatarajiwa kama mtu muhimu katika mkataba wa mafuta ulioingiwa kati ya nchi yake ya Venezuela na Marekani, kwa mujibu...

Tunisia ‘jehanamu’ ya wakosoaji wa serikali?

TUNIS, Tunisia "WALE wanaozikosoa mamlaka au mambo yanavyokwenda nchini Tunisia wanakumbana na ukandamizaji." Ni kauli ya Messaoud Romdhani, mwanaharakati wa haki za binadamu katika nchi...

Utafiti: Vijana Nigeria hawana imani na Uchaguzi

LAGOS, Nigeria UTAFITI uliohusisha wanafunzi 222 kutoka vyuo vikuu 34 nchini Nigeria umebaini kuwa asilimia 52.1 hawajajiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu ujao . Aidha, katika...

Makamu wa Rais anasota gerezani

PAYNESVILLE, Liberia HIVI karibuni, Mahakama nchini Liberia ilimpa ruhusa ya kutoka gerezani Makamu wa Rais wa zamani, Jewel Howard-Taylor, ili kwenda kupata matibabu ya nje,...

Modric arudi mzigoni, agoma kustaafu

LONDON, Uingereza KIUNGO mkongwe, Luka Modric, ataendelea kuitumikia timu yake ya Taifa ya Croatia, licha ya umri wake mkubwa wa miaka 41. Chama cha Soka cha...

Kiungo ateuliwa kocha mpya Algeria

ALGIERS, Algeria KIUNGO wa zamani wa Rangers ya Ligi Kuu ya Scotland, Brahim Hemdani, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya soka ya Taifa ya...

Mashabiki Fulham wazomea wachezaji

LONDON, Uingereza UZALENDO uliwashinda mashabiki wa Fulham na kuamua kuwazomea wachezaji wao baada ya timu hiyo kufungwa mabao 3-2 na Crystal Palace jana Septemba 5,...

Sikia hii ya Bayern, noma sana!

MUNICH, Ujerumani KWA mara ya kwanza baada ya mechi 59, Bayern Munich wamelazimishwa kumaliza dakika 90 bila kupata bao. Ni katika mchezo wa Bundesliga uliochezwa jana...

Mlipuko wa Volcano wazuia safari za ndege

JAKARTA, Indonesia MLIPUKO wa Volcano katika Mlima Anak Krakatau umesababisha kusitishwa kwa safari za ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta mjini Jakarta,...

Mtangazaji ahukumiwa kifo kisa dawa za kulevya

CAIRO, Misri MTANGAZAJI maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Misri, Sarah Khalifa, ni miongoni mwa watuhumiwa 11 walihukumiwa kifo kwa makosa ya kujihusisha na mtandao...

Simeone afunguka kilichoiua Atletico Madrid

MADRID, Hispania KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone, amesema wapinzani wao, Athletic Bilbao, walikuwa wazuri kwenye ulinzi na ndiyo maana ikawa ngumu kwa vijana wake...

Recent articles