Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Featured

Walcott: Liverpool itaisumbua Arsenal

LONDON, Uingereza MSHAMBULIAJI wa zamani wa Arsenal, Theo Walcott, ameitaja Liverpool kama timu anayoona itawapa ushindani mkali katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya...

Lebanon yamkabidhi mshirika wa Al-Assad

BEIRUT, Lebanon MAMLAKA za Lebanon zimemkamata na kumkabidhi nchini Syria aliyekuwa jenerali wa jeshi wakati wa utawala wa Rais Bashar al-Assad. Meja Jenerali huyo, Adel Issa,...

Marekani, ICC bado mambo magumu

NEW YORK, Marekani MAPEMA wiki hii, Katibu Mkuu wa Marekani, Marco Rubio, aliijia juu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), akiita kuwa ni yenye kuendeshwa...

Mpinzani wa Putin aliyehukumiwa miaka 11 gerezani

MOSCOW, Urusi MWANASIASA mwandamizi wa upinzani kupitia Chama cha Yabloko, Lev Shlosberg, anafahamika kwa matamko yake ya kuikosoa Serikali ya Rais Vladimir Putin. Kati ya mambo...

Nchi zinazoshirikiana na Iran zaonywa

WASHINGTON DC, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amezitaka kujiandaa na kibano nchi zitakazoipa ushirikiano Iran. Kauli hiyo ni mwendelezo wa uhusiano mbaya uliopo kati...

Marekani yavunja rekodi ya Deni la Taifa

WASHINGTON DC, Marekani DENI la Taifa la Marekani limefikia Dola trilioni 40, kiasi kikubwa zaidi cha fedha katika historia ya nchi hiyo, huku lawama zikielezwa...

Lewandowski kurudi Barcelona

CATALUNYA, Hispania IMEFICHUKA kuwa uongozi wa klabu ya Barcelona unaangalia uwezekano wa kumrejesha kundini mshambuliaji wake tishio, Robert Lewandowski. Lewandowksi aliyeondoka Barcelona majira haya ya kiangazi,...

Uratibu wa maafa sasa kidijitali zaidi, Serikali yawaita wadau

Na Hassan Mwasha, Gazetini AGOSTI 19 ya kila mwaka, Tanzania, kama zilivyo nchi zingine duniani, huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Misaada ya Kibinadamu. Kwa kuyataja...

PSSSF yawaandaa waandishi wa habari kuijenga jamii

Na mwandishi wetu, Gazetini MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeendesha mafunzo maalum kwa waandishi wa habari kuhusu masuala ya hifadhi...

Wadau watakiwa kuwawezesha wanawake wajasiriamali Serengeti

Na Malima Lubasha, Gazetini WADAU mbalimbali wa maendeleo pamoja na taasisi wilayani Serengeti, mkoani Mara, wametakiwa kuwawezesha wanawake wajasiriamali wanaofanya biashara katika Soko Kuu la...

DATA CHECK: Tangazo la “Uajiri TANAPA 2026” ni la uongo

Na mwandishi wetu, Gazetini DAI: Tangazo linalosambaa mitandaoni likiwaalika wananchi kuomba ajira TANAPA mwaka 2026 kupitia kiunganishi kinachodaiwa kuwa cha uajiri wa Shirika ni tangazo...

Rais Trump na Baraza la Mawaziri la mabilionea

WASHINGTON DC, Marekani VIGOGO wote 57 walioteuliwa na Rais Donald Trump katika awamu yake ya pili madarakani ni matajiri wa kutupwa. Kila mmoja ana utajiri...

Recent articles