Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Featured

Infantino aambiwa akae mbali na watoto

NYON, Uswis RAIS wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ametakiwa kutokuhudhuria michuano ya soka ya U-14 inayofanyika nchini Jamhuri ya Dominica. Ushauri huo...

Goretzka anukia Aston Villa

LONDON, Uingereza KLABU ya Aston Villa iko kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo aliyeondoka Bayern Munich raia wa Ujerumani, Leon Goretzka. Goretzka anapatikana...

Simba yaifyekelea mbali Singida Black Stars

Na mwandishi wetu, Gazetini SIMBA imeendeleza wimbi la ushindi katika mechi yake ya tatu msimu huu wa Ligi Kuu Bara baada ya kuifunga Singida Black...

Samia azindua JNHPP, asema si ‘White Elephant’, una manufaa

Na Faraja Mulungu Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) si...

Lissu awaita Rais Samia, Mpango mahakamani

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amewataja Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Mstaafu,...

Lissu akutwa na kesi ya kujibu

Na mwandishi wetu, Gazetini MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu,...

Khan arudi jela akitokea hospitali

ISLAMABAD, Pakistan WAZIRI Mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan, amerejeshwa gerezani akitokea hospitali alikokuwa akifanyiwa matibabu. Taarifa zinadai kuwa Khan amerudi jela mjini Islamabad asubuhi...

Ronaldinho arudi uwanjani, atua Italia

MILAN, Italia MKONGWE wa soka la Brazil, Ronaldinho, amejiunga na klabu ya Ravenna inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu nchini Italia. Ronaldinho (46), alistaafu mwaka 2015 lakini...

Maajabu ya mfungwa mzee zaidi, aliwahi kutoroka gerezani

NEW YORK, Marekani ANAITWA Francis Clifford Smith. Alipofariki Juni, 2026, alikuwa ndiye mfungwa mwenye umri mkubwa zaidi nchini Marekani. Miaka 101. Smith alihukumiwa kwa makosa ya...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (5)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Afya katika uongozi wa Idi Amin, Henry Kyemba, alisimulia kupitia Kitabu chake cha 'State of...

Idi Amin; Utata wa ‘birthday’, usaliti, na udikteta wake (4)

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona namna Idi Amin akiwa Mkuu wa Majeshi alivyopindua Serikali ya Rais...

Yanga mwendo mdundo, yaikaanga Coastal Union

Na mwandishi wetu, Gazetini MABINGWA watetezi msimu huu wa Ligi Kuu Bara, Yanga, wameshinda mechi yao ya pili kwa kuifunga Coastal Union mabao 4-1. Matokeo hayo...

Recent articles