Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Featured

Dira 2050 siyo ya Serikali pekee, kila Mtanzania ana nafasi ya kuijenga

Na mwandishi wetu, Gazetini WANANCHI wametakiwa kutambua kuwa utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 hauitegemei Serikali pekee, bali unahitaji ushiriki wa kila Mtanzania...

Haya sasa! Kocha mpya Yanga kupita njia za Guardiola, Klopp, Arteta

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE mabingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2025-26, Yanga, wamempa kazi raia huyo wa Afrika Kusini kuwa kocha wao mpya. Taarifa...

Winga wa Ubelgiji aisikiliza Arsenal

LONDON, Uingereza KIUNGO wa pembeni wa Club Brugge ya Ubelgiji, Christos Tzolis, anataka kujiunga na Arsenal kupitia usajili wa majira haya ya kiangazi. Mwandishi wa habari...

Katie Price; Alikaribia kujinyonga baada ya kubakwa

LOS ANGELES, Marekani MAKALA ya maisha ya mwanamitindo Katie Price imejaa simulizi yenye huzuni juu ya maisha ya bibiye huyo mwenye jina kubwa katika tasnia...

Hispania, Ufaransa kuvaana nusu fainali

BOSTON, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Hispania imeifuata Ufaransa katika hatua inayofuata ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Hispania wamevuka...

Tanzania haijashuka, haijapanda viwango FIFA

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA imebaki katika nafasi yake ya 112 kwenye viwango vipya vya ubora wa soka duniani vya Shirikisho la Soka la Kimataifa...

Marekani yaitumia ujumbe mzito Iran

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imeitaka Iran kuacha mara moja kuendeleza udhibiti wake katika Mlango-Bahari wa Hormuz. Katika agizo hilo, Marekani imezitaka mamlaka za Iran...

Abiria, rubani wafariki ajali ya ndege

NASSAU, Bahamas AJALI ya ndege ndogo nchini Bahamas imesababisha vifo vya abiria tisa, pamoja na rubani wao, mamlaka za nchi hiyo zimeeleza. Ndege hiyo ilikuwa ikifanya...

Mastaa wa soka na ‘ulevi’ wa mbio za magari

LONDON, Uingereza KWA miaka mingi, wachezaji wa kandanda wamekuwa na ukaribu mkubwa na mchezo wa mashindano ya mbio za magari. Mbali na mambo mengine, mara kadhaa...

Maresca atua na watu saba Man City

MANCHESTER, Uingereza KOCHA mpya wa Manchester City, Enzo Maresca, atatua na watu wapya saba kwenye benchi la ufundi la timu hiyo. Maresca ameajiriwa Etihad na kusaini...

WHO yaonya kuhusu kasi ya saratani

NEW YORK, Marekani SARATANI ni ugonjwa unaosababisha vifo 26,000 kila mwaka lakini idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka mara mbili ifikapo mwaka 2050. Hiyo ni kwa mujibu wa...

Tanesco yapokea malori 214 kutoka Isuzu kuboresha huduma ya umeme nchini

na mwandishi wetu, Gazetini SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limepokea malori 214 kutoka kampuni ya Isuzu East Africa kupitia Al Mansour Auto EA Tanzania kwa...

Recent articles