LOS ANGELES, Marekani
ZIMEIBUKA ripoti zinazodai kuwa kipa wa kimataifa wa Nigeria, Maduka Okoye, 'anatoka' na bibiye mwenye jina kubwa katika muziki wa Hip hop...
BOSTON, Marekani
KATIKA mchezo wa robo fainali uliozikutanisha Ufaransa na Morocco, Facundo Tello raia wa Argentina ndiye aliyekuwa mwamuzi wa kati.
Sasa, weka kando 'ishu' ya...
MIAMI, Marekani
WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, baadhi ya wanasoka wenye majina makubwa wametangaza kustaafu muda mfupi tu baada ya timu zao...
LONDON, Uingereza
WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia zikiendelea, msimu ujao wa Ligi Kuu ya England (EPL 2026-27) nao uko njiani.
Kama ilivyo kawaida, msimu...
LAGOS, Nigeria
POLISI nchini Nigeria wanamshikilia Dj maarufu, Chicken, akitajwa kumtishia maisha mtoto wa Rais Bola Tinubu, Seyi.
Kabla ya kukamatwa kwake, Dj Chicken alitumia siku...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeandika historia kwa kufanikisha kwa mara ya...
MOSCOW, Urusi
HALI ni mbaya mjini Moscow juu ya upatikanaji wa nishati ya mafuta. Foleni katika vituo vya mafuta (sheli) imeshuhudiwa kwenye maeneo mengi.
Mrundikano huo...
LONDON, Uingereza
SOKA limekuwa likitoa fursa nyingi. Mathalan, ndani ya klabu, limeajiri viongozi, wachezaji, makocha, madaktari, wapishi, na wafanyakazi wengine.
Kwa miaka mingi, limekuwapo kundi la...
Samatta na viatu vyake, Mwakinyo na glovu zake
Na Hassan Mwasha, Gazetini
SAFARI ya Mbwana Samatta na timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'...
LONDON, Uingereza
MWAKA huu haiushi. Huenda Tyson Fury na Muingereza mwenzake wa ngumi za uzito wa juu, Anthony Joshua, wakazichapa kama si Oktoba, basi Novemba,...
BERLIN, Ujerumani
MAHAKAMA nchini Ujerumani imemuhukumu kifo cha maisha gerezani daktari aliyebainika kuua wagonjwa wake 15, wakiwamo wanawake 12.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Johannes...
MONACO, Ufaransa
MTENDAJI Mkuu wa klabu ya soka ya Monaco, Thiago Scuro, amesema wako tayari kumruhusu kiungo Paul Pogba kuondoka klabuni hapo.
Kwa mujibu wa Scuro,...