Na Hassan Mwasha, Gazetini
UNAWEZA kufikiria kuhusu shoo nyingi za muziki zilizowahi kufanyika hapa nchini lakini 'Miaka 30 ya Bongo Fleva' imekuja na upekee mkubwa.
Ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
GAZETINI Communication, kupitia chombo chake cha habari cha Gazetini, imeingia makubaliano ya ushirikiano na International Women's Peace Group (IWPG) ya Korea...
TEHRAN, Iran
MAMLAKA za Iran zimetangaza rasmi kuufunga Mlango-Bahari wa Hormuz wakati huu jeshi lake likiendelea kushambuliana na Marekani.
Hatua hiyo inaweza kuathiri bei ya mafuta,...
Na Esther Mnyika, Gazetini
KWA Watanzania wengi, kuweka fedha benki ni njia salama ya kutunza akiba, kufanya miamala na kupanga mustakabali wa kifedha. Hata hivyo,...
MIAMI, Marekani
LICHA ya kucheza mechi zaidi ya 200 akiwa na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi hajawahi kuikabili England.
Safari hii, Messi atakutana kwa...
DAKAR, Senegal
KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Senegal, Pape Thiaw, ameondoshwa kwenye majukumu hayo zikiwa ni siku chache tu tangu walipotolewa Kombe...
LONDON, Uingereza
KIUNGO wa kimataifa wa England, Jude Bellingham, ameweka rekodi baada ya mabao yake mawili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Norway katika robo...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANGU Nasreddine Nabi alipoondoka mwaka 2023, kibarua cha benchi la ufundi la Yanga kimekuwa kigumu kwa kila kocha aliyeingia klabuni hapo.
Kwa...
MIAMI, Marekani
AFRIKA haina mwakilishi katika hatua ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni timu za Bara la Ulaya pekee zilizobaki.
Hata...
Na mwandishi wetu, Gazetni
VIJANA wa Tanzania wametajwa kuwa kundi litakalobeba mafanikio makubwa ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, huku wakihimizwa kuanza kujijengea uwezo...