Ads: info@gazetini.co.tz |
28 C
Dar es Salaam

Bungeni

Serikali yasamehe wadaiwa faini za maji, yataka wananchi warejeshewe huduma

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametangaza msamaha wa faini zote kwa wananchi waliokuwa wakidaiwa na Mamlaka za Maji nchini, hatua inayolenga kuwapunguzia...

Spika wa Bunge amhakikishia ushirikiano Dk. Mwapinga

Na Mwandishi Wetu Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amemhakikishia ushirikiano Katibu Mkuu wa Jukwaa...

Kamati ya Miundombinu yaishauri Serikali kusimamia utekelezaji miradi ya barabara

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeishauri Serikali kusimamia kikamilifu utekelezaji wa miradi yake yote ili iweze kuakisi viwango bora, uendelevu...

Vipaombele 10 vya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025-2026

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Wizara ya Ujenzi imetaja vipaombele 10 vya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2025-2026 ikiwemo kuendelea na ujenzi wa barabara za...

Wizara ya Ujenzi yaja na mizani zisizotumia watu

Na Ramadhan Hassan,Dodoma Serikali imepanga kufunga mfumo wa kielektroniki ambao unawezesha magari kupimwa kwenye mizani bila usaidizi wa mtu (operator) Hayo yameelezwa leo bungeni Machi 5,2025...

Recent articles