Ads: info@gazetini.co.tz |
28 C
Dar es Salaam

Bungeni

Rais Samia alitaka Jeshi la Polisi  kukomesha matukio ya watu kupotea, ataja sababu  ongezeko la deni la Taifa

Na Mwandishi Wetu Rais  Samia Suluhu Hassan, ameliagiza  Jeshi la Polisi nchini kuongeza  jitihada katika  kupambana na matukio ya uhalifu, hususan vitendo vya kupotea kwa...

Waziri Mkuu awapongeza watendaji wa Serikali kutekeleza kwa vitendo maono ya Rais Samia

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri mkuu  Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais  Samia Suluhu Hassan amekuwa nguzo ya kuimarisha mshikamano na umoja wa kitaifa na kufanikisha maendeleo katika...

Bunge  laridhia marekebisho mpaka wa  Hifadhi ya Nyerere

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Bunge limeridhia ombi la Serikali la kumega sehemu ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere kwa lengo la kutatua migogoro ya mipaka...

Watanzania  wako tayari kuchangia  harusi, sio gharama za matibabu ya mtoto- Dk. Mollel

Na Mwandishi Wetu Serikali imetoa wito kwa wananchi kubadilika na kuwekeza katika bima ya afya kama njia ya kujiandaa na changamoto za kiafya, ikiwemo gharama...

Serikali yachukua hatua kukabiliana na migogoro ya ardhi Morogoro

Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geophrey  Pinda amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kukabiliana na migogoro ya...

Serikali itaendelea kuisimamia sekta ya afya-Majaliwa

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu itaendelea kuisimamia na kuipa hadhi sekta ya...

Kubeti  kwachangia bilioni 17 pato la Taifa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha Dk. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili, 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Sh 17.42 bilioni ...

Raia  nchi 71 kuingia Tanzania bila viza

Na Mwandishi Wetu Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Hayo yamesemwa na...

Wizara ya Fedha yaoamba Sh 20.19  trilioni,  deni la Serikali  10.19 trilioni zimelipwa

Na Mwandishi Wetu Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, ameliomba Bunge la  Tanzania kuidhinisha Sh 20.19  trilioni kwa ajili ya bajeti ya wizara hiyo kwa...

Dar yatajwa kinara watoto wa mtaani

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeitaja Dar es Salaam kuwa Mkoa unaongoza kwa  kuwa na watoto wengi...

Mauzo asali ya Tanzania yapaa nje ya nchi, yangiza mabilioni

Na Mwandishi wetu Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Pindi Chana amesema asali ya Tanzania imeuzwa nje ya nchi kwa kiwango kikubwa kwa thamani ya ...

Bunge lapitisha  Sh 2.746 Trilioni  bajeti ya Wizara ya Uchukuzi

Na Mwandishi Wetu Bunge la Tanzania limeidhinisha Bajeti ya Wizara ya Uchukuzi yenye jumla ya Sh 2.746 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake...

Recent articles