Na mwandishi wetu, Gazetini
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
NEW YORK, Marekani
TAHARUKI imezuka juu ya hali ya afya ya rapa maarufu wa Marekani, Lil Wayne, ambaye inaelezwa kuwa staa huyo hayuko sawa.
Hivi karibuni,...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Dk. Jim Yonazi, amekutana na kufanya...
DARFUR, Sudan
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limethibitisha kutokea kwa shambulio jingine dhidi ya huduma za afya nchini Sudan, safari hii likilenga Hospitali ya Kufundishia...
Na mwandihi wetu, Gazetini
WAKATI Dunia leo Machi 22, 2026 ikiadhimisha Siku ya Maji, Muungano wa Afrika (AU) umeweka wazi dhamira yake ya kuhamisha mjadala...
Na Safina Sarwatt, Gazetini
HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC) imeanza ujenzi wa Taasisi ya Moyo itakayokuwa ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI mpya wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) umebaini kuwa wagonjwa wapya wa saratani zaidi ya milioni saba...
BAGHDAD, Iraq
WIZARA ya Afya ya Iraq imeripoti ongezeko la maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi, huku ikitupa lawama kwa raia wa nchi hiyo wanaosafiri kwenda...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imeziagiza menejimenti za viwanda mkoani Pwani kuboresha mazingira ya kazi na maslahi ya wafanyakazi ili kuongeza uzalishaji wenye tija na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KUKAMATWA kwa chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya katika basi la abiria lililokuwa likitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SARATANI ya utumbo mpana inatajwa kuwa ndiyo aina ya saratani inayoongoza kwa idadi kubwa ya vifo kwa watu wenye umri chini...
KIGALI, Rwanda
ILIKUWA ni Januari, 2020, ambapo akiwa anatoka saluni katika mitaa ya mjini Kigali, Janvier Igabe alikutana na mwanadada Josiane Tuyishimire.
Baada ya mazungumzo, walikubaliana...