Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BAKTERIA wa kinywani wanaoweza kuondoshwa kwa kupiga mswaki husababisha saratani ya kongosho, kwa mujibu wa utafiti mpya nchini Marekani. Kwa miaka...
Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI nchini Canada umebaini kuwa wanawake wanaojihusisha na utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi wako hatarini kupata tatizo la...
Na mwandishi wetu, GazetiniAPEKSHA Shetty, mwanamke raia wa India mwenye makazi yake mjini Vienna, anasema alianza kutumia vidonge vya uzazi wa mpango akiamini vingemsaidia...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KUKOSA muda wa kutosha wa kulala, hasa nyakati za usiku, kunaweza kusababisha ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu, kwa mujibu wa utafiti mpya...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKUU wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi, amesema serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
UTAFITTI mpya nchini Uingereza umebaini kuwa asilimia zaidi ya 65 ya vijana wenye umri chini ya miaka 40 wanakabiliwa na changamoto...
Na mwandishi wetu, GazetiniSARATANI ya kongosho ni ugonjwa unatajwa kusababisha vifo zaidi ya 10,000 kila mwaka. Ni wastani wa mtu mmoja kupoteza maisha kila...
KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetangaza maambukizi mapya ya Ebola na vifo 15 vitokanavyo na ugonjwa huo.Ikumbukwe, hizi ni taarifa...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Mganga Mkuu wa Serikali Dk. Grace Magembe, ametoa ufafanuzi kuhusu picha mjongeo (video) iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha muuguzi na askari wakivutana katika...
Na Mwandishi Wetu,Gazetini
Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga na Mloganzila),imetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa uchangiaji figo kwa wagonjwa wanaohitaji huduma ya kupandikiza viungo hivyo.
Kwa mujibu...