By: Benjamin Emmanuel Meshack, RN Registered Dialysis Nurse & Dialysis Applications Specialist (Hemoperfusion Technology), Tanzania
In many low- and middle-income countries, access to advanced blood...
NEW YORK, Marekani
NI kwa mujibu wa Mpango wa Ukimwi wa Umoja wa Mataifa (UNAIDS), ikielezwa kuwa vita dhidi ya Ukimwi imepungua duniani kutokana na...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limetangaza hali ya dharura inayohitaji uangalizi wa kimataifa baada ya mlipuko wa ugonjwa...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
KATIKA moja ya nukuu zake maarufu, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliwahi kutaja maradhi kuwa ni moja ya maadui watatu wa Taifa...
GENEVA, Uswiz
Hofu imeendelea kuongezeka duniani kufuatia mlipuko wa virusi vya Hanta (Hantavirus) ulioripotiwa ndani ya meli ya kifahari ya kitalii ya MV Hondius, baada...
TEHRAN, Iran
WIZARA ya Afya ya Iran imeeleza kuwa watu zaidi ya 1,300 wamefariki na wengine zaidi ya 9,000 kujeruhiwa tangu nchi hiyo ilipoingia kwenye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imepiga hatua kubwa katika kupunguza athari za malaria, huku takwimu za hivi karibuni zikionyesha kupungua kwa vifo, maambukizi na wagonjwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imesema jumla ya watu 3,557 wamepata ajali wakiwa kazini katika kipindi cha miaka mitatu kuanzia 2023 hadi 2025, huku watu...
Na mwandishi wetu, Gazetini
JUMLA ya watoto na vijana wapatao 75,500 wanatarajiwa kufanyiwa uchunguzi wa ugonjwa wa selimundu (sikoseli) ili kubaini mapema hali zao za...
EDINBURGH, Scotland
SARATANI ya kizazi ni moja ya saratani nne zinazotesa wanawake duniani, ikihusishwa pia na vifo vingi kwa jinsia hiyo.
Hata hivyo, hadithi ni tofauti...
KINSHASA, DRC
BARA la Afrika limepiga hatua kubwa tangu mwaka 2000 katika kukabiliana na vifo vya watoto wachanga, kwa mujibu wa utafiti wa Shirika la...