Ads: info@gazetini.co.tz |
23.5 C
Dar es Salaam

Siasa

Simulizi ya kusikitisha maisha ya Gaza

LONDON, UingerezaACHANA na mashambulizi ya makombora yanayotupwa kila uchwao na Israel, raia wa Palestina walioko katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na shida nyingine kubwa...

Paul Biya na ‘ulevi’ wa madaraka Cameroon

YAOUNDE, CameroonHATUA ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, kutangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao imeonekana kuzua mjadala mkubwa katika siasa za...

Mwandishi jela miaka 14 kisa kuitetea Ukraine

MOSCOW, UrusiMAHAKAMA nchini Urusi imemuhukumu kifungo cha miaka 14 gerezani mwandishi wa vitabu,Boris Akunin, kwa kauli yake ya kuiunga mkono Ukraine.Pia, mbali ya kuiunga...

Al Shabaab wateka mji Somalia

MOGADISHU, SomaliaWANAMGAMBO wa Al Shabaab wameuteka na sasa wameweka makazi katika Mji wa Tardo mkoani Hiiran.Tardo ni Mji ulio katikati ya Somalia, hivyo unaipa...

Rais Biya ataka muhula wa nane Cameroon

YAOUNDE, CameroonRAIS wa Cameroon, Paul Biya, ametangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao, licha ya kwamba ameshika nafasi hiyo kwa miaka 43.Biya...

Kundi la kigaidi linaloitesa Afrika Magharibi

BAMAKO, MaliKWA miaka ya hivi karibuni, Ukanda wa Afrika Magharibi umekuwa ukiandamwa na mashambulizi ya kigaidi yanayotekelezwa na Kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin...

Urusi, China zazijadili Marekani, Ukraine

MOSCOW, UrusiMAWAZIRI wa Mambo ya Nje wa Urusi na China wamezungumzia uwezekano wa kumaliza vita inayoendelea kati ya Taifa hilo la Ulaya na majirani...

Polepole ajiuzulu Ubalozi

Na Mwandishi Wetu Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubalozi na nafasi nyingine za uongozi wa Umma kuanzia...

Ruto atafaulu mtihani wa ‘Gen Z’?

NAIROBI, KenyaUPEPO unavuma vibaya kwa William Ruto, huku sehemu kubwa ya wakosoaji wake wakiwa ni vijana wa kizazi kipya, wakifahamika pia kwa jina la...

Kuna nini Trump na viongozi Afrika?

WASHINGTON DC, Marekani JUMATANO ya wiki hii, Rais wa Marekani, Donald Trump, alifungua Mkutano wa siku tatu na viongozi wa nchi tano za Afrika mjini...

ICC yainyooshea kidole Sudan

DUBAI, UAEMAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imelaani kinachoendelea mjini Darfur, Sudan, ikieleza kuwa kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.Tangu...

Ruto: Waandamanaji wapigwe risasi za miguu

NAIROBI, KenyaWAKATI maandamano ya raia wanaoipinga Serikali yakiendelea, Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza waandamanaji wapigwe risasi za miguu.Agizo hilo linakuja wakati huu jumuhiya...

Recent articles