Ads: info@gazetini.co.tz |
23.3 C
Dar es Salaam

Siasa

City wamalizana na Donnarumma, kumng’oa Ederson

PARIS, UfaransaMLINDA mlango wa PSG na timu ya taifa ya Italia, Gianluigi Donnarumma, amekubaliana masilahi binafsi na klabu ya Manchester City.Donnarumma mwenye umri wa...

Zelensky: Tutapigana na Urusi hadi kieleweke

KYIV, UkraineRAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema wataendeleza vita na Urusi hadi pale majirani zao hao watakapoacha kuwakandamiza.Kauli ya Zelensky imekuja baada ya Urusi...

Nyuma ya pazia Marekani ‘kuichukia’ Afrika Kusini

Na mwandishi wetu, GazetiniSERIKALI ya Afrika Kusini imekanusha kile kilichoelezwa na ripoti ya hivi karibuni ya Marekani, ikidai kuwapo kwa ukiukwaji mkubwa wa haki...

M23 kugomea mkataba wa amani; DRC hatarini zaidi?

Na mwandishi wetu, GazetiniHATUA ya wawakilishi wa M23 kutohudhuria mkutano wa kusaini mkataba wa amani kati yake na Serikali umeibua hofu, wengi wakiamini bado...

Waasi 35 wauawa shambulizi la anga Nigeria

LAGOS, Nigeria JESHI la Nigeria limedai kuua wapiganaji 35 wa moja ya vikundi vya waasi baada ya kufanya shambulizi la anga jirani na mpaka wa...

Safari za nje zamponza Rais Sri Lanka

COLOMBO, Sri LankaRAIS wa zamani wa Sri Lanka, Ranil Wickremesinghe, amekamatwa na kufunguliwa mashitaka ya rushwa, kwa mujibu wa taarifa ya polisi.Taarifa zinaeleza zaidi,...

Israel yaitangazia ‘kiama’ Gaza

JERUSALEM, IsraelWAZIRI wa Ulinzi wa Israel amesema watalisambaratisha eneo la Gaza endapo wapiganaji wa Palestina, Hamas, hawatasitisha mapigano.Mbali ya kutaka lisitishe mapigano, pia Waziri...

Mahakama yaagiza Rais Colombia aachiwe

BOGOTA, ColombiaMAHAKAMA Kuu nchini Colombia imeagiza Rais wa zamani wa nchi hiyo, Alvaro Uribe, kuachiwa baada ya awali kuhukumiwa kifungo cha ndani cha miaka...

‘Putin hataki amani Ukraine’

KYIV, UkraineKATIBU Mkuu wa zamani wa Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi (NATO), Anders Fogh Rasmussen, haoni kama Urusi ina nia ya kurejesha...

Thailand mbioni mapinduzi ya kijeshi?

BANGKOK, ThailandMACHAFUKO yanayoendelea katika mpaka wake na Cambodia yameanza kulipa nafasi kubwa jeshi la Thailand kuipindua Serikali iliyoko madarakani katika Taifa hilo la barani...

Nguvu ya wanawake Uchaguzi Mkuu Malawi

LILONGWE, MalawiKWA mara ya kwanza katika historia ya siasa za Malawi, wagombea wengi wa kiti cha urais wamewateua wanawake katika nafasi ya mgombea mweza...

Nini kifanyike kuiokoa Sudan?

DARFUR, SudanWATU takribani 300,000 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula ukiwa ni mwaka mmoja tu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinavyoendelea nchini Sudan. Hali...

Recent articles