Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA miaka mingi, iliitwa Nauru, kabla ya kubadili jina hivi karibuni na kujiita Jamhuri ya Naoero. Inafahamika kuwa ni nchi ya...
WASHINGTON DC, Marekani
MAREKANI imetangaza kuwa itafikia makubaliano na Iran ndani ya siku mbili zijazo juu ya kufungua Mlango-Bahari wa Hormuz na kurejesha utulivu Mashariki...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIBu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema, John Mnyika, amesema chama hicho pamoja na Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, hadi...
TEHRAN, Iran
LENGO ni moja tu, kuhakikisha dunia inatambua na kuheshimu nguvu ya Iran, hasa dhidi ya Marekani na washirika wake, ikiwamo Israel. Katika hili,...
JERUSALEM, Palestina
KAULI ya Rais Donald Trump kwamba kundi la Hamas limekubali kuweka silaha chini limeibua matumaini kwa wananchi wa Palestina kuanza kuishi maisha ya...
CARACAS, Venezuela
SIKU chache zilizopita, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela, Felix Plasencia, alitangaza uamuzi wa nchi hiyo kuondosha uanachama wake katika Mahakama ya...
NAYPYIDAWA, Myanmar
KWA wananchi wa Myanmar, siasa zinawapitisha katika ukurasa mpya uliojaa machungu ya kukimbia nyumba na familia zao ili kujinusuru na utawala wa kijeshi...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema wanatarajia kukaa mezani na viongozi wa Iran kujadili mustakabali wa vita vyao vilivyoanza Febrauri 28, 2026.
Kwa...
LONDON, Uingereza
'MALVINA ni Argentina' ni ujumbe uliosomeka katika bango walilobeba wachezaji wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina baada ya kuifunga England katika...
LIMA, Peru
MAHAKAMA ya Katiba ya Peru imeamuru kuachiwa huru kwa Rais wa zamani wa Taifa hilo, Ollanta Humala, ambaye alihukumiwa kifungo cha miaka 15...
RIYADH, Saudi Arabia
SAUDI Arabia imebaki njiapanda. Tangu Marekani na Israel zilipoungana kuishambulia Iran, Saudia ilijiweka mbali na mgogoro huo. Haikutaka kujihusisha wala kuhusishwa.
Hata hivyo,...