Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Vichocheo vya kufikia malengo ya Dira 2050: Usafirishaji fungamanishi 

Na mwandishi wetu, Gazetini VICHOCHEO vya maendeleo ni nyenzo muhimu katika kuongeza kasi ya kufikia malengo ya Dira 2050. Kwa kutambua hilo, Dira hii imebainisha...

Waasi waua wanajeshi Mali

BAMAKO, Mali WANAJESHI zaidi ya 10 wameripotiwa kuuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na kikundi cha waasi wikiendi iliyopita. Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), ambalo ni...

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Zambia

LUSAKA, Zambia UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang'anyiro cha urais. Ifahamike kuwa...

Papa Leo alia na amani Sudan

VATICAN CITY, Vatican KIONGOZI wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Leo XIV, amehimiza kupatikana kwa amani nchini Sudan katika hotuba yake ya jana Agosti 9, 2026,...

Shambulizi la Ukraine laua Warusi 13

MOSCOW, Urusi SHAMBULIZI la ndege isiyo na rubani linalotajwa kufanywa na Ukraine nchini Urusi limesababisha vifo vya watu 13, akiwamo mtoto. Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa...

Israel yakataa ombi la Marekani kuhusu Gaza

JERUSALEM, Israel WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesema wamkataa ombi la Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu mgogoro wa Gaza. Kwa mujibu wa Netanyahu, hawakubaliani...

Nafasi ya Serikali za Mitaa katika utekelezaji wa Dira 2050

Na Hassan Mwasha SERIKALI za Mitaa hapa nchini zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa nyakati tofauti. Mathalan, mwaka 1962, Serikali ilifuta utawala wa kimila na kuanzisha Serikali...

Paul Biya: Rais aliyewaacha njiapanda wananchi Cameroon

YOUNDE, Cameroon HAJAONEKANA hadharani kwa miezi miwili sasa na wananchi wa Cameroon wanahoji; itachukua muda gani Rais Paul Biya kurudi nchini akitokea mjini Geneva, Uswis? Wakati...

Miaka minne baada ya mapinduzi, Traore amefanikiwa?

OUAGADOUGOU, Burkina Faso ALIINGIA madarakani mwaka 2022 akiliongoza jeshi kuipindua Serikali iliyokuwa madarakani. Anaitwa Kapt.Ibrahim Traore, kijana mwenye umri wa miaka 38 tu. Kwa upande mmoja,...

Kampuni za mafuta zinazonufaika vita vya Iran, Marekani

WASHINGTON DC, Marekani FAIDA wakati wa vita. Ndicho kinachoonekana wakati huu Iran na Marekani zikiwa kwenye mgogoro unaotikisa si tu Mashariki ya Kati, bali dunia...

Heche: Bila kujitoa hata Lissu atakata tamaa

Na mwandishi wetu, Gazetini Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amewataka wanachama wa chama hicho kuongeza kiwango cha kujitolea katika...

Netanyahu kurejesha uhusiano wake na Marekani?

WASHINGTON DC, Marekani WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alikuwa nchini Marekani kwa ziara ya kikazi, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump. Kwa...

Recent articles