Ads: info@gazetini.co.tz |
28.2 C
Dar es Salaam

Siasa

Besigye alazwa ICU baada ya kuanguka mahakamani

KAMPALA, Uganda KIONGOZI mkongwe wa upinzani nchini Uganda, Dk. Kizza Besigye, amelazwa katika Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) mjini Kampala baada ya kuanguka na kupoteza...

Vita vinavyozitajirisha kampuni za AI

Na mwandishi wetu, Gazetini MSEMO wa 'vita ni akili' umedhihirishwa na namna mataifa mengi, hasa makubwa kiuchumi, yanavyotumia akili-unde (Artificial Intelligence - AI) kuwadhibiti wapinzani...

Keiko Fujimori: Binti wa dikteta aliyekwepa njia za baba yake

LIMA, Peru KEIKO Fujimori ndiye Rais mpya wa Peru na anakuwa mwanamke wa kwanza katika historia ya nchi hiyo ya Kusini mwa Amerika kushika wadhifa...

Familia inayomlilia mwanasiasa wa upinzani anayesota gerezani

TUNIS, Tunisia BADO hakuna taarifa rasmi za mamlaka juu ya anakotibiwa mwanasiasa maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Rached Ghannouchi. Wapo wanaosema yuko hospitali ya umma na...

Jeshi la Mali dhidi ya waasi walioungana

BAMAKO, Mali KWA sasa, jeshi la Serikali ya Mali liko kwenye wakati mgumu kupigana na muungano wa vikundi viwili vya kigaidi, Azawad Liberation Front (FLA)...

Mlima wa Iran unaoipasua kichwa Marekani

TEHRAN, Iran UNAITWA Mlima Pickaxe. Unapatikana Kusini mwa Iran katika Jimbo la Isfahan, umbali wa maili 1.24 kutoka kilipo kinu cha nyuklia cha Natanz. Ulinzi...

Houthi wanavyoongeza ugumu Mashariki ya Kati

Na mwandishi wetu, Gazetini WAKATI dunia ikiwa kwenye sintofahamu juu ya mustakabali wa vita vya Marekani na Iran, Kundi la kigaidi la Houthi nchini Yemen...

Marekani, Iran zatulia; bei ya mafuta yashuka

WASHINGTON DC, Marekani BEI ya mafuta katika soko la dunia imeshuka kwa asilimia 9, yakiwa ni matokeo ya mashambulizi ya Marekani na Iran kusimamia kwa...

Rais Ukraine awasili Uingereza

LONDON, Uingereza RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amewasili nchini Uingereza, ambako atakutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham. Zelensky atakuwa mgeni wa kwanza...

Rais wa Senegal azindua chama chake

DAKAR, Senegal RAIS wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amezindua chama kipya cha kisiasa kiitwacho Kiiray (Chama cha Wazalendo wa Jamhuri), hatua inayotajwa kuimarisha mgawanyiko...

Waisrael washutumiwa kuchoma misikiti ya Wapalestina

JERUSALEM, Palestina RAIA wa Israel wanaoishi West Bank wameripotiwa kuchomo moto misikiti, magari na mashamba ya Wapalestina katika eneo hilo. Madai hayo yanakuja zikiwa ni siku...

Karim Khan: Kuigusa Israel kumemfukuzisha kazi ICC?

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE Karim Khan ameondoshwa katika kiti cha Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). Kashfa ya unyanyasaji wa...

Recent articles