Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Liver yamnasa Ekitike kwa bil. 277/-

MERSEYSIDE, EnglandLIVERPOOL wamefanikisha usajili wa mpachikaji mabao Hugo Ekitike, huku dili hilo likigharimu Pauni milioni 79 (zaidi ya Sh bil. 277 za Tanzania).Ikumbukwe, nyota...

Gabriel: Arsenal tunataka makombe msimu ujao

LONDON, EnglandMSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Magalhaes, anaamini msimu ujao ni wao katika kunyakua mataji.Kwa miaka sita ya kocha Mikel Arteta, Arsenal wamebeba taji la...

Pacquiao amtamani tena Barrios

LAS VEGAS, MarekaniMKONGWE wa ndondi za uzito wa welter, Manny Pacquiao, amesema anatamani kuona akirudiana na bingwa wa WBC, Mario Barrios.Pacquiao mwenye umri wa...

Sinner, Djokovic kuikosa National Bank Open

LOS ANGELES, MarekaniMASTAA wa tenesi, Jannik Sinner na Novak Djokovic, hawatoshiriki michuano ijayo ya National Bank Open itakayofanyika Canada.Wawili hao walitarajiwa kushiriki mashindano hayo...

Usyk achota bil. 343/- kwa dk. 14 tu

LONDON, EnglandKWA ushindi wa 'KO' ya raundi ya tano dhidi ya Daniel Dubois, Oleksandr Usyk amevuna Pauni milioni 98 (zaidi ya Sh bil. 343...

Pickford kusaini miaka minne Everton

MERSEYSIDE, EnglandMABOSI wa Everton wanakaribia kutangaza mkataba mpya wa miaka minne mlinda mlango wao raia wa England, Jordan Pickford.Pickford mwenye umri wa miaka 31,...

Rashford rasmi kwa mkopo Barca

MANCHESTER, EnglandIMERIPOTIWA kuwa mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, atatimkia Barcelona kwa mkataba wa mkopo.Barca walifika mezani na ofa yao ya mkopo na Man...

Urafiki wa wanasiasa, waganga wa kienyeji

KAMPALA, Uganda ACHANA na vurugu, wizi wa kura na hata 'figisu' zingine. Kwa miaka mingi, huenda taswira nyingine kubwa zaidi ya siasa za Afrika ni...

Usiyoyajua kuhusu penzi la Rotimi, Vanessa

LOS ANGELES, MarekaniILIKUWA ni mwaka 2019, ndipo walipokutana kwa mara ya kwanza na hapo ukafunguliwa ukurasa mpya wa mapenzi kati yao.Rotimi, ambaye ni mwanamuziki...

Syria, Israel kusitisha mapigano

JERUSALEM, IsraelMATAIFA ya Syria na Israel yamefikia makubaliano ya kusitisha vita, kwa mujibu wa Balozi wa Marekani nchini Uturuki, Tom Barrack.Kwa mujibu wa balozi...

Mvua yakimbiza 3,000 Korea Kusini

SEOUL, Korea KusiniMVUA kubwa inayoendelea kunyesha imesababisha raia zaidi ya 3000 kuyakimbia makazi yao katika maeneo mbalimbali ya Korea Kusini.Jimbo la South Chungcheong ni...

Waasi waua sita, wateka 100 Nigeria

MAIDUGURI, NigeriaKATIKA tukio lililotokea jana, kundi la waasi limevamia na kuuua watu sita, huku likiondoka na wengine zaidi ya 100, wakiwamo watoto na wanawake.Taaria...

Recent articles