Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Rodri awindwa Madrid, atengewa bil. 348/-

MADRID, HispaniaREAL Madrid wametenga Pauni milioni 100 (zaidi ya Sh bil. 348 za Tanzania) za kuibomoa Manchester City kwa kumchukua kiungo wao, Rodri.Kocha mpya,...

Ten Hag amzuia Xhaka kurudi England

MUNICH, UjerumaniKOCHA wa Bayer Leverkusen, Erik ten Hag, ameweka wazi kuwa kiungo wake raia wa Uswis,Granit Xhaka, hauzwi.Xhaka aliyewahi kukipiga Arsenal, anahusishwa na mpango...

Rashford: Barca kama nyumbani tu

MANCHESTER, EnglandBAADA ya kutangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Barcelona, Marcus Rashford amesema anajisikia yuko nyumbani.Rashford mwenye umri wa miaka 27, amejiunga na Barca...

Waandamana kumpinga rais Ukraine

KYIV, Ukraine MAELFU ya raia wa Ukraine wameandamana kuipinga hatua ya Rais Volodymyr Zelensky kupitisha sheria inayobana uhuru wa taasisi kubwa mbili, ikiwamo ya Kuzuia...

Agoma kuzungumza mahakamani, afungwa maisha

MOSCOW, UrusiMWANAUME raia wa Urusi, Bryan Kohberger, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani, licha ya kugoma kuzungumza mahakamani wakati wa usikilizaji wa kesi ya mauaji...

Trump amshambulia Obama, ataka ashitakiwe

WASHINGTON, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, amemtaja mtangulizi wake, Barack Obama, kuwa ni muhaini na anayepaswa kufunguliwa mashitaka.Kwa mujibu wa Rais Trump, Obama alishirikiana...

Maguire aachwa Man United ikielekea Marekani

MANCHESTER, EnglandBEKI wa kati, Harry Maguire, hajaongozana na kikosi cha Manchester United kilichoelekea Chicago, Marekani, kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu ujao.Maguire...

Liverpool yahamishia mtego kwa Rodrygo

MADRID, HispaniaKLABU ya Liverpool inafuatilia kwa karibu hatima ya staa wa Real Madrid, Rodrygo.Kwa wiki za hivi karibuni, Rodrygo raia wa Brazil amekuwa akihusishwa...

Wissa aondoka kambini, anukia Tottenham

LONDON, EnglandKITENDO cha mshambuliaji wa Brentford, Yoane Wissa, kuondoka katika kambi ya timu hiyo huko Ureno kimeibua tetesi kuwa huenda amerejea London kukamilisha usajili...

Usiyoyajua kuhusu biashara ya kuuza figo

NAIROBI, KenyaMAKALA haya yanaanzia kwa kijana raia wa Kenya, Amon Kipruto, ambaye anavua shati na kuonesha kovu katika tumbo lake, alama aliyobaki nayo baada...

Kucha za bandia, ‘make-up’ chanzo ugonjwa wa pumu

LONDON, EnglandUMAKINI unahitajika. Utafiti umeonesha kuwa kucha bandia ni chanzo kikubwa cha ugonjwa wa pumu, licha ya wanawake wengi, hasa wa maeneo ya mjini,...

Njaa yaua binti wa miaka minne

JERUSALEM, IsraelHUKU vita ikiendelea, binti mwenye umri wa miaka minne, Razan Abu Zaher, amepoteza maisha kutokana na njaa kali inayowakumba wakazi wa Ukanda wa...

Recent articles