Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

KIMATAIFA

Serikali, M23 kumaliza vita DRC?

KINSHASA, DRCSERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) itakaa mezani na M23 kusaini mkataba wa kumaliza vita Kaskazini mwa nchi hiyo.Hatua hiyo ni...

Kocha Spurs ahofia kufukuzwa

LONDON, EnglandKOCHA mpya wa Tottenham, Thomas Frank, hajawahi kufukuzwa kazi lakini sasa anahofia kuipoteza rekodi hiyo.Frank raia wa Denmark, anakuwa kocha wa 14 kwa...

Arsenal yakamilisha dili la Madueke

LONDON, EnglandKLABU ya Arsenal imefanikiwa kuinasa saini ya winga wa kimataifa wa England, Noni Madueke.Arsenal imemng'oa nyota huyo Chelsea, huku usajili huo ukiripotiwa kugharimu...

Jeshi laifuta Tume cha Uchaguzi Burkina Faso

OUAGADOUGOU, Burkina FasoUTAWALA wa kijeshi nchini Burkina Faso umeifuta iliyokuwa Tume ya Uchaguzi kwa madai kuwa uwepo wake ni matumizi mabaya ya fedha za...

Usky: Umri namba tu, nitamchakaza Dubois

LOS ANGELES, MarekaniKUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya...

Bondia apigwa risasi Urusi

MOSCOW, UrusiSTAA wa mchezo wa ngumi, Timur Khizriev, ameripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.Video iliyosambaa mitandaoni inamuonesha bingwa huyo wa uzito wa feather akivamiwa...

Mbeumo pasua kichwa Man United

MANCHESTER, EnglandMABOSI wa Manchester United wamelazimika kurudi kwa mara ya tatu kwa Brentford wakijaribu kuishawishi kumwachia Bryan Mbeumo.Kwa mujibu wa ripoti mpya, safari hii...

Snoop Dogg ainunua Swansea City

LOS ANGELES, MarekaniSUPASTAA wa muziki wa Hip hop, Snoop Dogg, amenunua hisa katika klabu ya Swansea City.Kwa kufanya hivyo, sasa rapa huyo anakuwa sehemu...

Mtoto wa Ancelotti ‘aula’ Brazil

RIO, BrazilDAVIDE Ancelotti ambaye ni mtoto wa kocha Carlo Ancelotti, amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Botafogo ya Ligi Kuu ya Brazil.Davide amekuwa na kikosi hicho...

Neymar aiokoa Santos

RIO, BrazilBAO la dakika za mwisho la Neymar limeiwezesha Santos kuzoa pointi tatu katika mchezo wao dhidi ya Flamengo, ambao ni wa Ligi Kuu...

England, Italia hapatoshi nusu fainali EURO

LONDON, EnglandMICHUANO ya soka la wanawake ya EURO 2025 imefikia patamu na sasa England itakwaana na Italia katika hatua ngumu ya nusu fainali.England ilivuka...

Newcastle: Isak haendi Liverpool

LONDON, EnglandMABOSI wa Newcastle United wameweka mgomo wakisisitiza kuwa mpachikaji mabao wao, Alexander Isak, hauzwi kwa gharama yoyote.Newcastle wamedai kuwa hata kama nyota huyo...

Recent articles