Ads: info@gazetini.co.tz |
28.4 C
Dar es Salaam

Featured

Urusi, Ukraine piga nikupige inaendelea

KYIV, Ukraine VIKOSI vya jeshi la Urusi vimetekeleza shambulizi la ndege zisizo na rubani nchini Ukraine na kusababisha vifo vya watu 13. Mamlaka za Ukraine zimethibitisha...

Ni England au Mexico tiketi ya robo fainali?

MEXICO CITY, Mexico FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea kuchanja mbuga, huku baadhi ya timu zikiwa zimeshatinga hatua ya 16 Bora. Baadhi...

Iran: Marekani itakiona cha moto

TEHRAN, Iran MAKAO Makuu ya Jeshi la Iran yamekuja na tamko zito, kwamba Marekani itaingia kwenye shida endapo itaendelea kuingilia udhibiti wa Mlango-Bahari wa Hormuz. Kauli...

Syria yawaita mezani Hezbollah

BEIRUT, Lebanon WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Syria, Asaad al-Shaibani, yuko nchini Lebanon, ambapo amesema wako tayari kukaa mwezani na wapiganaji wa Kundi la...

Mwili wa Khamenei wazua gumzo

TEHRAN, Iran MAMLAKA za Iran zimetangaza Julai 9, 2026 kuwa ndiyo siku za maziko ya Kiongozi wa zamani wa Taifa hilo, Ali Khamenei, huku ukiibuka...

Arsenal yatia nanga kwa kipa huyu

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa kipa aliyeondoka Leeds United baada ya kumaliza mkataba wake, Illan Meslier. Kocha wa...

Mshambuliaji anayesakwa na vigogo EPL

LONDON, Uingereza NI nahodha wa West Ham United, Jarrod Bowen, ambaye si tu Manchester United, bali pia Liverpool na Chelsea nazo zinaimezea mate saini yake. Mshambuliaji...

Kocha Ubelgiji amtaja aliyeiua Senegal

MIAMI, Marekani KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Ubelgiji, Rudi Garcia, amesema nahodha wake, Youri Tielemans, ndiye mchezaji aliyekuwa na mchango mkubwa katika...

Weah: Yamal? Mbappe habari nyingine

TORONTO, Canada MKONGWE wa soka la Liberia, George Weah, ambaye ni Mwafrika pekee kuwahi kubeba Ballon d'Or, amesema Kylian Mbappe ni bora kuliko Lamine Yamal. Weah...

Miaka 250 ya Uhuru: Rais Trump alivyoigawa Marekani

WASHINGTON DC, Marekani JULAI 4, 2026, Marekani itasherehekea miaka 250 tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1776 kutoka kwa Uingereza. Hata hivyo, 'birthday' inakuja wakati Taifa hilo...

Usijichanganye! Brazil haijawahi kutoboa kwa Norway

TORONTO, Canada WIKIENDI hii, Julai 5, 2026, itashuhudiwa mechi kali ya hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia kati ya Brazil na Norway ya...

Hii ndiyo Mexico inayosumbua Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico LICHA ya kuchukuliwa poa hata kabla ya michuano ya Kombe la Dunia kuanza Juni 11, 2026, Mexico ni moja ya timu zilizofanya...

Recent articles