Ads: info@gazetini.co.tz |
28.4 C
Dar es Salaam

Featured

Ujerumani bado majanga Kombe la Dunia

MIAMI, Ujerumani NUKSI ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani katika fainali za Kombe la Dunia imeendelea. Safari hii, waliishia hatua ya 32 Bora. Ni...

JET: Asasi za kiraia ni nguzo ya kupambana na jangwa

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania (JET), John Chikomo, amesema asasi za kiraia zina nafasi muhimu...

Chanzo, hukumu ya Kanisa Katoliki kwa maaskofu sita

ROMA, Italia KANISA Katoliki lina wafuasi bilioni 1.4 duniani kote, hivyo kulifanya kuwa moja ya taasisi zenye nguvu na ushawishi mkubwa. Kama zilivyo taasisi zingine, Kanisa...

Mahrez aibwaga rasmi Algeria

MIAMI, Marekani WINGA Riyad Mahrez ametangaza kustaafu kuitumikia timu yake ya soka ya Taifa ya Algeria. Kwa mujibu wa mwandishi wa habari maarufu wa Italia, Fabrizio...

Zilizotinga 16 Bora Kombe la Dunia

TORONTO, Canada TIMU 13 zimeshakata tiketi ya kucheza hatua inayofuata ya 16 Bora msimu huu wa fainali za Kombe la Dunia. Ni baada ya Uswis nayo...

Mama yake Burna Boy ataka mkwe, wajukuu

LAGOS, Nigeria MAMA yake Burna Boy ambaye pia ndiye meneja wake, Bose Ogulu, amemtaka staa huyo wa muziki kuoa na kupata watoto. Ujumbe huo umekuja baada...

Waziri Mkuu: Sheria ya kutaifisha mifugo itafutwa Agosti

Na Malima Lubasha, Serengeti WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali imeanza mchakato wa kufuta sheria inayoruhusu kutaifishwa kwa mifugo inayokamatwa ndani ya maeneo ya...

Ajiua kwa kujichoma moto

NEW YORK, Marekani MWANAUME mmoja amejiua kwa kujichoma moto nje ya Ofisi za Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York. Kwa upande wao, wanaharakati wamemtaja mtu...

Jaji Mkuu: Kazi tunazofanya hazipaswi kuhatarisha maisha

Na mwandishi wetu, Gazetini Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, ameshauri Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuendelea kufanya ukaguzi...

LeBron kutua wapi msimu ujao NBA?

LOS ANGELES, Marekani NI rasmi kwamba supastaa wa Ligi Kuu ya mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA), LeBron James, hatakuwa na kikosi cha Los Angeles...

Halotel, Samsung wazindua huduma mikopo ya simu janja yenye vifurushi

Na Imani Nathaniel, Gazetini Kampuni ya Mawasiliano ya Halotel Tanzania kwa kushirikiana na Samsung Electronics, imezindua huduma ya mikopo ya simu janja inayokwenda sambamba na...

Drake kwa ‘kubeti’ humwambii kitu

TORONTO, Canada NJE ya kazi ya muziki, rapa Drake ana dunia yake nyingine. Ni miongoni mwa 'walevi' wa kamari ya kubashiri matokeo ya michezo (kubeti). Hivi...

Recent articles