Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Featured

Sekta nyeti ‘walizofunga’ Marekani uchumi wa Iran

TEHRAN, Iran KATIBU Mkuu wa Hazina ya Marekani, Scott Bessent, amesema si tu Iran, bali hata nchi, taasisi na mashirika yatakayofanya biashara na Iran yataingia...

Dolly Parton; Mtoto wa mkulima anayeliliwa na dunia ya muziki

LOS ANGELES, Marekani MAMILIONI ya wapenzi wa muziki wa Country kutoka pande zote za dunia wameguswa na kifo cha nguli Dolly Parton aliyefariki hivi karibuni...

China inavyoua biashara ya magari Ujerumani

BERLIN, Ujerumani BMW imekuwa kampuni ya tano ya utengenezaji magari nchini Ujerumani kutangaza kupunguza wafanyakazi. Kampuni zilizotangulia kuchukua hatua hiyo ni VW, Porsche na Mercedes-Benz. Hatua...

Nchi zenye ‘sura ya ugaidi’ mbele ya Marekani

LOS ANGELES, Marekani MAREKANI imeiondoa Syria katika orodha ya nchi inazoamini zinafadhili vitendo vya kigaidi (SSOT). Hatua hiyo ni mwendelezo wa uhusiano mzuri wa mataifa...

Miji yenye watu wengi zaidi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini MWAKA 1950, Tokyo (Japan) na New York (Marekani) ndiyo miji iliyokuwa na idadi kubwa ya watu duniani. Tokyo ilikuwa na watu...

Uchumi wa dunia kufikia trilioni 150 mwaka 2030

Na mwandishi wetu, Gazetini UCHUMI wa dunia unatarajiwa kufikia Dola za Marekani trilioni 150 ifikapo mwaka 2030, kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Fedha...

Nchi zinazoongoza kwa uzalishaji wa dhahabu duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini CHINA ndiyo nchi inayoongoza kwa uzalishaji wa madini ya dhahabu duniani. Uzalishaji wake umeongezeka kwa asilimia 9 kutoka tani 351 mwaka...

Ndejembi apitishwa na CCM kuwa Makamu wa Rais

Na Faraja Mulungu Gazetini HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu...

DK. Nchimbi afutwa uanachama CCM

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Asharose Migiro, amesema Halmashauri Kuu ya CCM imeamua kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa...

Siasa zinawahitaji Kikwete, Mbowe na Heche

Na Hassan Mwasha, Gazetini HISTORA inaweza kuzitaja skendo za ufisadi za ESCROW na RICHMOND kama nyakati mbaya zaidi katika utawala wa Serikali ya Awamu ya...

Nchi zilizo hatarini kwa kufanya biashara na Iran

WASHINGTON DC, Marekani HIVI karibuni, Marekani ilizitangazia ‘kiama’ nchi zinazofanya biashara na Iran, ikisema nazo zitakumbana na vikwazo vya kiuchumi. Iran imekuwa kwenye vikwazo vya...

Xavi Hernandez kurejesha heshima ya Uholanzi?

ZEIST, Uholanzi KIUNGO na kocha wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, ndiye aliyekabidhiwa benchi la ufundi kwa ajili ya kuinoa timu ya soka ya Taifa...

Recent articles