28.1 C
New York

Yamal awaaga Ronaldo, Neymar

Published:

MIAMI, Marekani

BAADA ya timu za soka za taifa za Ureno na Brazil, staa wa Hispania, Lamine Yamal, amewatumia ujumbe wa pole Cristiano Ronaldo na Neymar.

Yamal amewataja nyota hao kuwa ndiyo mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa kizazi hiki.

Aidha, staa huyo wa Barcelona amewatakia kila la kheri Ronaldo na Neymar baada ya kutolewa Kombe la Dunia.

“Cristiano Ronaldo na Neymar wamekuwa muhimu kwa kizazi changu tangu nikiwa mdogo. Nawatakia kila la kheri,” amesema.

Kauli yake hiyo imekuja kuelekea mchezo wa robo fainali kati ya Hispania na Ublegiji utakaochezwa Ijumaa ya wiki hii.

Related articles

Recent articles