Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kivutio kikubwa cha uwekezaji wa kimataifa katika sekta ya madini, baada ya kuorodheshwa miongoni mwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TANZANIA inaendelea kupiga hatua katika upatikanaji wa huduma za mawasiliano kupitia teknolojia mbalimbali za mitandao ya simu.
Kwa mujibu wa ripoti ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
FEBRUARI 28, 2026 imeingia kwenye kumbukumbu baada ya kuwa ndiyo siku aliyouawa Kiongozi Mkuu wa Iran, Ali Khamenei, ambaye aliuawa katika ...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MIAKA ya hivi karibuni imeshuhudia migogoro mingi ya wanamuziki wa Bongo Fleva na mabosi wa lebo zao.
Mfano wa hivi karibuni ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
NI rahisi kuona watu wakikuwekea chuki na wivu kwa vile tu umefanikiwa, bila kujua umepitia shida nyingi kufika hapo ulipo. Wanachukulia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
ACHANA na tambo za mashabiki, sare ya kutokufungana ndiyo iliyohitimisha dakika 90 za mchezo wa 'derby' ya Kariakoo kati ya wenyeji...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SERIKALI imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya usafiri wa anga kwa kuimarisha miundombinu ya viwanja vya ndege, hatua iliyochangia...
LONDON, Uingereza
MAUZO ya jezi ni sehemu muhimu ya vyanzo vya mapato ya klabu za soka duniani kote, zikivuna mabilioni ya fedha kutokana na biashara...
Na mwandishi wetu, Gazetini
BENKI za NMB na CRDB zimeendelea kuthibitisha ubora na uimara wao katika sekta ya fedha nchini baada ya kila moja kutangaza...
NEW YORK, Marekani
RIPOTI mpya ya Umoja wa Mataifa (UN) inaonesha kuwa wasichana takribani milioni 4.5 duniani kote wako kwenye hatari ya kufanyiwa ukeketaji kwa...
NEW YORK, Marekani
Bilionea maarufu duniani, Elon Musk, ameweka historia mpya baada ya kuwa mtu wa kwanza kumiliki utajiri unaozidi dola bilioni 800, kufuatia hatua...