Ads: info@gazetini.co.tz |
22.8 C
Dar es Salaam

DATA

Visual| Makocha bora 10 wa muda wote EPL

LONDON, Uingereza KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...

Visual| Gen Z wafikia bilioni 1.9, Gen A waongoza duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu duniani, kwa sasa idadi ya vijana waliozaliwa...

Miji 10 kinara kwa ubora wa maisha Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini MAISHA katika miji yote barani Afrika yanatofautiana, hiyo ikitokana na gharama za maisha, ikiwamo uwezo wa watu wake kufanya manunuzi. Haiishii hapo....

Visual| Utajiri wa mafuta Venezuela: Hadithi ya ahadi na uhalisia

Na mwandishi wetu, Gazetini VENEZUELA inaendelea kushika nafasi ya kwanza duniani kwa utajiri wa akiba ya rasilimali ya mafuta, licha ya changamoto kubwa za kiuchumi...

Visual| Mabilionea 10 walioishika Dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini KWA mujibu wa Jarida maarufu la Forbes, mfanyabiashara wa Marekani, Elon Musk, ndiye binadamu mwenye fedha nyingi zaidi duniani. Utajiri wake...

Senegal v Misri … Mane, Salah wana vita ya kisasi AFCON 2025

RABAT, Morocco UKIACHA vita ya Nigeria na Morocco, nusu fainali nyingine kali msimu huu wa fainali za AFCON ni ile itakayozikutanisha Senegal dhidi ya Misri. Ratiba...

Lugha zinazozungumzwa zaidi duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini KIINGEREZA kimeendelea kuwa lugha yenye ushawishi mkubwa duniani, ikitajwa kuwa ndiyo iliyokuwa na wazungumzaji wengi zaidi kwa mwaka 2025. Ni kwa mujibu...

Ndoa za utotoni Tanzania; hali halisi, athari na njia za kutokomeza

Na mwandishi wetu, Gazetini NDOA za utotoni, zinazofafanuliwa kama ndoa inayohusisha mmoja au wote wawili walio chini ya umri wa miaka 18, bado ni tatizo...

Mabondia matajiri zaidi duniani

LOS ANGELES, Marekani UKIWEKA kando soka, masumbwi ni mchezo mwingine unaofuatiliwa zaidi, ukifuatiwa na mpira wa kikapu. Takwimu zinaonesha hivyo. Kutokana na ushawishi wake duniani, mchezo...

Mastaa 10 wenye pesa ndefu AFCON 2025

RABAT, Morocco KARNE hii ya 21 imeshuhudia vipaji vikubwa vya soka barani Afrika na sasa wanaoneshana kazi katika fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

Miji inayoongoza kwa mishahara minono duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...

Simba v Azam; Dk. 90 za kisasi, hasira za CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI Jumapili ya wiki hii, ambapo Simba watakuwa wenyeji wa matajiri wa Chamazi, Azam FC, ukiwa ni mwendelezo wa mechi za...

Recent articles