Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

AFYA

Huyu ndiye Dk. Suzanne wa Kombe la Dunia 2026

CALIFORNIA, Marekani FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zimeshuhudia historia nyingi zikiandikwa lakini moja ya hizo ni uwepo wa Dk. Suzanne Huurman. Katika...

Marekani yajitoa mapambano dhidi ya Ukimwi Afrika Kusini

WASHINGTON DC, Marekani SERIKALI ya Marekani imetangaza kusitisha ufadhili wa programu zote za mapambano dhidi ya Ukimwi nchini Afrika Kusini. Afrika Kusini inaongoza duniani kwa kuwa...

Kamanda wa polisi Mkoa wa Tabora afariki dunia

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao, amefariki dunia leo Juni 20, 2026 akiwa...

Mjamzito anusurika kuuawa na tembo

Na Malima Lubasha, Gazetini- Serengeti MWANAMKE mmoja mjamzito, Bhoke Mahumo (28), mkazi wa Kijiji cha Mbirikili, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, amenusurika kufa baada ya...

Ebola kuzitikisa fainali za Kombe la Dunia 2026?

KINSHASA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola umeendelea kuwa gumzo si tu DRC ulikoanzia, bali pia nchi jirani za Afrika, ikiwamo Uganda, na sasa unatishia...

Hii ndiyo ICD, mashine ya moyo anayovaa Eriksen akiwa uwanjani

LONDON, Uingereza TANGU alipoanguka uwanjani wakati wa fainali za EURO 2020, straika wa timu ya Taifa ya Denmark, Christian Eriksen, amekuwa akivaa kifaa maalumu cha...

‘Nilitumia dawa za kulevya kuongeza nguvu za kiume, nikaishia pabaya’

Na Hassan Mwasha MAISHA ya Juma Mgota, mkazi wa Mtaa wa Muhalitan, Tandale jijini Dar es Salaam, yanaweza kuwa sehemu ndogo tu ya madhila wanayopitia...

Wanawake hatarini zaidi Ebola, maambukizi yafika Brazil

KINSHASA, DRC WATAALAMU wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) wameonya kuwa wanawake ndilo kundi lililo hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya...

Virusi hivi vya Ebola vimeshindikana, havina chanzo wala tiba

Na mwandishi wetu, Gazetini MAAMBUKIZI ya virusi vya Ebola yameendelea kuripotiwa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kama ilivyo kwa majirani zao, Uganda, huku...

Taasisi ya OSHA yapata Bodi mpya

Na mwandishi wetu, Gazetini Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameitaka Bodi Mpya ya Wakala wa Usalama na Afya...

Nchi 10 hatarini kuathiriwa na ebola wakati mlipuko ukizidi DRC na Uganda

KINSHASA, DRC WAKATI Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Uganda zikiendelea kuripoti ongezeko la visa vya maambukizi ya Ebola, nchi 10 za Afrika zimetakiwa...

Mama mzazi wa Hayati Magufuli afariki dunia Chato

Na mwandishi wetu, Gazetini MAMA mzazi wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Magufuli, Mama...

Recent articles