KINSHASA, DRC
KUNDI la waasi la M23 linajivunia idadi ndogo ya maambukizi ya Ebola katika maeneo yake, likidai kuwa hilo linathibitisha uwezo wake mkubwa wa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MTANZANIA, Gloria Majule, ameendelea kuiwakilisha vyema Tanzania katika jukwaa la kimataifa la sanaa baada ya kuibuka mshindi wa tuzo ya uandishi...
DRC, Congo
SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuanza kwa majaribio ya kwanza ya kitabibu ya dawa inayolenga kuzuia maambukizi ya Ebola kwa watu waliokaribiana...
NEW YORK, Marekani
SARATANI ni ugonjwa unaosababisha vifo 26,000 kila mwaka lakini idadi hiyo inatarajiwa kuongezeka mara mbili ifikapo mwaka 2050.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
Na Ramadhan Hassan, Dodoma
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kwa kushirikiana na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), imeandika historia kwa kufanikisha kwa mara ya...
BERLIN, Ujerumani
MAHAKAMA nchini Ujerumani imemuhukumu kifo cha maisha gerezani daktari aliyebainika kuua wagonjwa wake 15, wakiwamo wanawake 12.
Mwanaume huyo aliyefahamika kwa jina la Johannes...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju, ameshauri Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) kuendelea kufanya ukaguzi...
MADRID, Hispania
WATU zaidi ya 1,000 wamepoteza maisha kutokana na magonjwa yanayohusiana na kuongezeka kwa joto nchini Hispania.
Taarifa hiyo inakuja wakati Hispania ikiwa imepata ongezeko...
LOS ANGELES, Marekani
HIVI karibuni, Shirika la Ujasusi la Marekani (FBI) lilimtia mkononi mfanyabiashara maarufu, Ibrahim Khaldoon Hilmi, aliyekuwa akikimbia kukamatwa kwa miaka mingi.
Khaldoom Hilmi...
PARIS, Ufaransa
MAMLAKA za afya nchini Ufaransa zimetangaza kisa cha kwanza cha maambukizi ya Ebola kwa daktari wake aliyetokea DRC.
Daktari hyo alikuwa DRC katika programu...
Na Christopher Msekena, Gazetini
JANGA la ugonjwa wa Ebola limeendelea kuwa tishio nchini Kongo baada ya ndugu wa watano wa mwimbaji wa Injili Jonathan Budju,...