10 C
New York

Makonda asimamisha uongozi TOC, Rage kuongoza kwa muda

Published:

Na Mwandishi Wetu

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesimamisha uchaguzi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), pamoja na uongozi wa sasa wa kamati hiyo na kuunda uongozi wa muda, Mwenyekiti akiwa  ni Ismail Aden Rage.

Related articles

spot_img

Recent articles

spot_img