LAGOS, NigeriaKATIKA baadhi ya maeneo ya Kaskazini mwa Nigeria, raia wanalazimika kuwalipa fedha waasi ili tu waishi kwa amani. Hilo limeshuhudiwa katika Kijiji cha...
JERUSALEM, PalestinaSIKU chache zilizopita, tukio la mauaji ya waandishi wa habari watano huko Gaza lilitikisa ulimwengu, huku Israel ikifahamika kuwa ndiyo iliyohusika kupitia mashambulizi...
Na Mwandishi Wetu
Mgombea wa udiwani kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata Kunduchi, Michael Urio leo Agosti 18, 2025 amechukua fomu ya kutetea nafasi yake...
KYIV, UkraineRAIS wa Marekani, Donald Trump, sasa amepanga kukutana na kufanya mazungumzo na mwenzake wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy.Mkutano huo utakaofanyika mjini Washington, DC, unakuja...
LOS ANGELES, MarekaniMEYA wa New Orleans, LaToya Cantrell, amefunguliwa mashitaka akituhumiwa kwa makosa ya rushwa.Wakati huo huo, mashitaka hayo yamemuhusisha pia mlinzi binafsi wa...
BAMAKO, Mali
HALI ya taharuki imeibuka nchini Mali baada ya wanajeshi takarbani 50 kushikiliwa kwa madai ya kusuka mpango wa kuipindua Serikali inayoliongoza Taifa hilo...
Na mwandishi wetu, GazetiniKWA wiki chache za hivi karibuni, medani ya siasa barani Afrika imeshuhudia purukushani wanazopitia wanasiasa wa upinzani katika mataifa ya Ivory...
BOGOTA, ColombiaMGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu ujao nchini Colombia, Miguel Uribe, amefariki akiwa na umri wa miaka 39 ikiwa ni miezi miwili tu imepita...
Na Mwandishi Wetu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinahitaji kupata sh 100 bilioni kwa ajili ya shughuli za kampeni kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...
LOS ANGELES, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, atakutana na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Agosti...
Na Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa Tume Huru yaTaifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, amemkakabidhi Georges Busungu. mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa...
N'DJAMEA, ChadALIYEWAHI kuwa Waziri Mkuu wa Chad, Succes Masra, amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani akishutumiwa kwa kuchochea ubaguzi wa rangi dhidi ya raia...