MUNICH, UjerumaniMPACHIKAJI mabao wa Bayern Munich, Harry Kane, amesema si kweli kwamba atarudi Ligi Kuu ya England, na badala yake anataka kusaini mkataba mpya...
CAIRO, MisriSHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limesisitiza kuwa fainali za mwaka huu za AFCON zitafanyika Morocco, licha ya hali tete ya usalama nchini humo.Maandamano...
HARARE, ZimbabweWAKONGWE wa Ligi Kuu ya soka ya Zimbabwe, Abas Amidu na Reuben Mhlanga, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya...
EDINBURGH, ScotlandHUENDA mabosi wa Rangers ya Scotland wakamrejesha kwenye benchi la ufundi kocha wao wa zamani, Steven Gerrard.Mkongwe huyo wa Liverpool mwenye umri wa...
MUNICH, Ujerumani
VIGOGO wa Bundesliga, Bayern Munich, wamejitosa katika mpango wa Liverpool wa kumsajili beki wa Crystal Palace, Marc Guehi.Guehi mwenye umri wa miaka 25,...
LONDON,UingerezaOPERESHENI kubwa ya polisi nchini Uingereza imefanikiwa kunasa genge linalojihusisha na uhalifu wa wizi simu.Kwa mujibu wa taarifa ya polisi, mtandao huo unahusika katika...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
TANZANIA imeendelea kuungana na nchi nyingine duniani katika kusherehekea Siku ya Faru Duniani kia ifikapo Septemba 22, huku takwimu mpya zikionyesha...
Suva, FIJI
Fiji sasa inakabiliwa na mlipuko mkubwa wa Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wataalamu wakionya kuwa nchi hiyo iko katika “dhoruba kamili” ya kiafya...
Cheongju, SOUTH KOREA
Women leaders from across the world, many from nations affected by war and instability, gathered to strengthen their role in global...
EDINBURGH, ScotlandMABOSI wa klabu ya Rangers wamejadiliana na kukubaliana kumfuta kazi kocha wake, Russell Martin.Russell amefungashiwa virago akiwa ameliongoza benchi la ufundi katika mechi...
LONDON, UingerezaNYOTA wa zamani wa West Ham United ya England, Said Benrahma, amefunguliwa mashitaka baada ya mbwa wake kumng'ata mtembea kwa miguu.Benrahma (30), ambaye...
LIMA, PeruKUTOKANA na sababu mbalimbali, nyingi zikihusiana na vitendo vya rushwa, marais wastaafu nchini Peru wamejikuta wakianza maisha mapya ya gerezani baada ya kutoka...