22.1 C
New York

Waliouawa Gaza wafikia 900, watoto 301

Published:

JERUSALEM, Palestina

WATU zaidi ya 900, wakiwamo watoto 301, wameuawa katika Ukanda wa Gaza na idadi hiyo ni kwa mwaka 2026 pekee.

Takwimu hizo zimetolewa na Wizara ya Afya ya inayoongozwa na Serikali ya Kundi la Hamaz.

Kwa ujumla, yaani kuanzia Oktoba 10, 2025, idadi ni kubwa zaidi, ambapo vifo vinatajwa kufikia 1,300.

Kwa wakati huu, mapigano kati ya Serikali ya Hamas na Israel yameripotiwa kusimama baada ya pande zote mbili kukubaliana na mpango wa Rais wa Marekani, Donald Trump.

Aidha, zipo takwimu zingine zinazoonesha kuwa watu zaidi ya 100 wamekuwa walifariki kila mwezi kuanzia Aprili hadi Agosti, 2026.

Related articles

Recent articles