Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuing'oa Gaborone United ya Botswana, sasa Simba itaivaa Nsingizini Hotspurs ya Ligi Kuu ya Eswatini katika raundi ya pili...
Na mwandishi wetu, GazetiniHUKUMU ya kifo aliyopewa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, imegonga vichwa vya habari za...
LONDON, UingerezaKANISA la Anglikana limeandika historia baada ya kumteua Dame Sarah Mullally kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, akiwa ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi...
Na Hassan Mwasha, GazetiniSIKU chache tu zilizopita, Dimitar Pentev alitua kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Tanzania akiwa na kikosi cha Gaborone United...
MANCHESTER, UingerezaKIUNGO wa pembeni wa Manchester City, Savinho, amesaini mkataba mpya wa miaka miwili klabuni hapo.Savinho (21), huu ni msimu wake wa pili tangu...
London, UINGEREZA
KWA mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake takribani miaka 500 iliyopita, Kanisa la Anglikana limeandika historia mpya baada ya kumteua, Dame Sarah Mullally...
Mwandishi Wetu, Gazetini
MTAFITI maarufu duniani wa maisha ya wanyama, hususan sokwe, Dk. Jane Goodall, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91 nchini Marekani.
Taarifa...
MERSEYSIDE, UingerezaLIVERPOOL itamkosa kwa wiki sita mlinda mlango wake raia wa Brazil, Alisson, baada ya majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya Galatasaray.Ni kwa maana...
RABAT, MoroccoPOLISI nchini Morocco wanawashikilia vijana zaidi ya 60 katika maandamano yanayoendelea miji mikubwa, ikiwamo Rabat na Casablanca.Maandamano hayo, ambayo asilimia kubwa ya washiriki...
LONDON, UingerezaBEKI wa kati wa Arsenal, William Saliba, amefichua kuwa amesaini mkataba mpya wa miaka mitano klabuni hapo.Nyota huyo raia wa Ufaransa amesema ameongeza...