JERUSALEM, PalestinaKATIKA kile kinachotafsiriwa kuwa ni hatua nzuri katika kumaliza mgogoro wa Gaza, wanajeshi wa Israel wameanza kuondoka katika Ukanda huo.Kurejea nyumbani kwa wanajeshi...
MADRID, HispaniaMVUA kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko zimeathiri safari za ndege nchini Hispania.Kwa mujibu wa taarifa, mafuriko hayo yameikumba mikoa ya Kusini-Mashariki mwa...
WASHINGTON DC, Marekani
IKULU ya Marekani imeikosoa Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel ikisema haitendi haki katika kutangaza washindi. Kwa mujibu wake, tuzo ya...
KYIV, UkraineMAENEO mengi ya Mji Mkuu wa Kyiv yamekosa umeme kutokana na mashambulizi yaliyofanywa na Urusi nchini Ukraine.Mamlaka za Kyiv zimeeleza kuwa licha ya...
BANJUI, GambiaKATIKA mchezo wa jana, straika Pierre-Emerick Aubameyang alifunga mabao yote katika ushindi wa 4-3 wa timu yake ya taifa ya Gabon dhidi ya...
DURBAN, Afrika KusiniMASHABIKI wa timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' walijikuta kwenye majonzi baada ya 'chama' lao kulazimishwa suluhu na Zimbabwe katika...
ALGIERS, AlgeriaMSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya Algeria, Riyad Mahrez, ameweka wazi kuwa fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakuwa za mwisho katika maisha...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Miaka michache tu iliyopita, jina Xiaomi lilikuwa geni kwa wengi nje ya China. Lakini leo, jina hilo limegeuka kuwa alama ya...
RIYADH, Saudi ArabiaMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameandika historia ya kuwa bilionea wa kwanza kwa upande wa wachezaji mpira wa miguu.Hiyo ni...
RIO, BrazilWAKATI Ousmane Dembele anaitwaa tuzo ya mwaka huu ya Ballon d'Or, Neymar alikuwa kitandani akisikilizia maumivu ya upasuaji. Ni majeraha yake ya tatu...
Na mwandishi wetu, GazetiniHUKU idadi ya vijana wanaovuta shisha ikifikia milioni 15 duniani kote, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) limezionya kampuni...
AMSTERDAM, UholanziMFUNGAJI bora wa muda wote wa timu ya taifa ya Uholanzi, Memphis Depay, amekosekana kikosini kutokana na mkasa wa kuibiwa hati ya kusafiria.Kwa...